Lyrics Ninaweza - Avril , Rabbit King Kaka
Ehee,
mm
mm
ehee
1 Ninaimagine,
all
the
things
I'd
like
to
have
Gari,
nyumba
na
mali,
ya
kupindukia
hey
Kila
mahali
ninaenda
sina
shaka
akilini
What
peace
I'd
have,
no
worry
on
my
mind
Nikitazama
sasa,
barabara
mbele
yangu
hii
No
easy
eh
oh
because
kuna
watu
wenye
nia
mbaya
oh
Ninashindwa
ni
wapi
nitapata
nguvu
And
then
I
close
my
eyes
eh
Realize
that
I'm
stronger
than
they
think
Na
ninaweza
Na
ninaweza
Na
nitaweza
Na
ninaweza,
ninaweza,
ninaweza
Naamini
ninaweza
2 Nina
picture
medium
kwa
kichwa
venye
naweza
ji
picture
Success
ilipo
ndio
niweze
jificha
Hata
hazina
vurugu
nanitembeza
ndula
Kaa
si
Kaka
clothing
niko
na
Jacob
bejula
Si
unajua
peace
ua,
I
make
a
good
ruler
Nina
nguvu,
na
siongelei
gym
Nawamix
sana,
na
siongelei
Kym
Na
rafiki
ni
washady,
kidogo
wawe
Slim
Nataka
pesa
za
Kirubi,
psyche
kaa
duni
Kabla
niwe
na
kiburi,
nilianza
juzi
Oh
yeah
ndai
deadly,
high
paid
account
ni
heavy
Mola
alishanipea
nguvu,
are
you
ready
What
what
leo
able,
kesho
stable
Deal
gani
unayo,
cards
juu
ya
table
Big
up
to
my
daughters,
N
na
G
Hao
ndio
hunipa,
energy
Na
ninaweza
Na
ninaweza
Na
nitaweza
Na
ninaweza,
ninaweza,
ninaweza
Naamini
ninaweza
Eh
mtu
we
leo
lazima
mimi
nimake
it
Hata
waseme
nini
mimi
namake
it
Okay,
alright
I
was
once
told
hakuna
kitu
impossible,
ni
attitude
tu
Alafu
vitu
possible
I
mean
me
from
ghetto,
sa
hii
bills
nasettle
Touchdown
kesho,
keshokutwa
*
Eh
mtu
we
leo
lazima
mimi
nimake
it
Hata
waseme
nini
mimi
namake
it
Alright,
okay
Maganji
na
hesabu
siku
show
kwa
klabu
Haujapata
habari
nakula
life
na
adabu
Wanasema
siku
izi,
Kaka
anaweza
Nawashow,
hata
we
unaweza
Na
ninaweza
Na
ninaweza
Na
nitaweza
Na
ninaweza,
ninaweza,
ninaweza
Naamini
ninaweza
Attention! Feel free to leave feedback.