Lyrics Naanza Tena - Bahati
Mungu
wangunaanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Nipe
nguvu
naanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Hii
ribi
sandarem
Baba
yoo,
hmm
Baba
Nyimbo
nzuri
nikutungie
Baba,
Baba
wale
iwafikie
eh
Uchungu
wangu
nikupatie,
ah
Dawa
yangu
nitafutie
Ila
shida
zanisonga
sana
Wakati
nakosa
wa
kumwambia
Nimekonda
sana
Mawazo
ya
kesho
we
si
unajua
Ila
shida
zanisonga
sana
Wakati
nakosa
wa
kumwambia
Nimekonda
sana
Mawazo
ya
kesho
we
si
unajua
Mungu
wangu
naanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Nipe
nguvu
naanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Unaitwa
Jehovah
Jairee,
Jairee
Upendadalo
Baba
ba
sina
liwe
Wanakuita
Jehovah
Jairee,
jairee
Upendalo
Baba
ba
sin
aliwe
eh
Wanakuita
baba
wa
yatima
Ume
wa
wajane
Wanakuita
baba
wa
yatima
Wanakuita
baba
wa
yatima
Me
wa
wajane
Wanakuita
baba
wa
yatima
Mungu
wangu
naanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Nipe
nguvu
naanza
tena
Ah
tena,
tena
Naanza
tena
Ooho
(aaah
eh)
Yesu
wangu
(aaheh)
Baba
yangu
(aah
eeh)
We
si
unajua
Roho
yangu
(aaah
eh)
Tamadio
langu
Mungu
wangu
(aah
eeh)
We
si
unajua

Attention! Feel free to leave feedback.