Lyrics Ntala Nawe - Cedo , Ben Pol
Eh
mpenzi
we,
usiwe
na
mashaka
Ingawa
mashida
kesho
tutajaliwa
Nikiwa
kwa
raha,
tufurahi
pamoja
Na
ninapolia
we
wanipa
faraja
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
shida
ama
kwenye
furaha
dada
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
jua
ama
kwenye
mvua
Ona
nyota
zetu
zinavyo
meta
meta
Na
ukitabasamu
unapendeza
sana
Nikiwa
kwa
giza
umekuwa
mwangaza
Tuliyopitia
umenivumilia,
aah
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
shida
ama
kwenye
furaha
dada
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
jua
ama
kwenye
mvua
Oh
uh
oh
ooh
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
shida
ama
kwenye
furaha
dada
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
jua
ama
kwenye
mvua
Mmh
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
shida
ama
kwenye
furaha
dada
Ntala
nawe,
ntala
nawe
Kwenye
jua
ama
kwenye
mvua
Kwenye
jua
ama
kwenye
mvua
Attention! Feel free to leave feedback.