Ben Pol - B the King Lyrics

Lyrics B the King - Ben Pol



Lakini pia uvumilivu mqenzio mimi
Mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Nikaona kama unanisaliti
Unatema big G kwa karanga za kuonja
Mapenzi yana run dunia
Sio fika wajua kuna waliobadili
Dini sababu ya kupenda
Fikiria zako ziko vibaya lakini nibkama
Rafiki wa karibu ukaoba nakusaliti



Writer(s): Benard Paul


Ben Pol - B the King
Album B the King
date of release
18-12-2019




Attention! Feel free to leave feedback.