Ben Pol - Ebenezer Lyrics

Lyrics Ebenezer - Ben Pol



Mashuhuri kwa hakika
Najongea kukupa sifa
Wimbo wako wa Taifa
Na ndo maana mimi sichoki kukuimba
Mimi ni nani hata nichoke? (Choke)
Sana nataka si tuwe wote (wote)
Mimi ni nani hata nizubae? (Zubae)
Ushindi lazima nikiwa nawe
Haa aah! Unanikosha unanivuta
Haa aah! Unaniita umejificha
Haa aah! Unanikosha unanivuta
Haa aah! Nimeshafika
Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer
Asubuhi vile jua likiwaka
Natambua ni nafasi umenipa
Sio nadeka
Sitaki kabisa kuchomoka
(Aaah aaah)
Wewe hukawii unayejibu kwa wakati
Nakupenda ngii nikiwa nawe sishikiki
Wewe hukawii unayejibu kwa wakati ooh
Nakupenda ngii(Haa, hey)
Haa aah! Unanikosha unanivuta
Haa aah! Unaniita umejificha
Haa aah! Unanikosha unanivuta
Haa aah! Nimeshafika
Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer
(Yeah)
Jabari hodari, wewe ngome imara
Safari sikwami, dereva mambo sawa
Jabari hodari, wewe ngome imara
Safari sikwami, dereva mambo sawa
Jabari hodari, wewe ngome imara
Safari sikwami, dereva mambo sawa
Jabari hodari, wewe ngome imara
Safari sikwami, dereva mambo sawa
Haa aah (Wewe ngome imara)
Haa aah (Dereva mambo sawa)
Haa aah (Wewe ngome imara)
Haa aah (Dereva mambo sawa)
Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer, Ebenezer
Oooh Ebenezer, Ebenezer
Eey Ebenezer



Writer(s): Ben Pol


Ben Pol - Ebenezer
Album Ebenezer
date of release
21-01-2020




Attention! Feel free to leave feedback.