Ben Pol - Natuliza Boli Lyrics

Lyrics Natuliza Boli - Ben Pol



Ieeh ta ta
(Mermaid)
(Still Hard)
Nazunguka zunguka, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nazunguka zunguka, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nione ooh (aaah), nikapenda kila kitu
Your so beautiful nusu malaika nusu mtu
We eeeeh weeeh
Unajua sana kuvaa, weeh eeeh
System yangu umeiteka aah
Kumbe sikupaswa kujichosha
Kumbe nisinge jihangaisha
Uuh uu mmh yeah
Oooh ohoh onhoo
Nazunguka zunguka, natembea tembea,
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nazunguka zunguka, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Napatwa kigugumizi
Napandwa na uchizi
Mahaba yamenizidi na na na Nakukuacha siwezi
Uuuh uuuh huuu aha anha kukwacha siwezi
Unanipa kile ambacho kwingine sipati
Eeh atanizunguke lazima kwako nitarudi
Kumbe sikupaswa kujichosha
Kumbe nisinge jihangaisha
Nazunguka zunguka, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
La la la lah weee eeeeh
I′m sorry mama
Ienhee ta ta ta



Writer(s): Ben Pol


Ben Pol - Natuliza Boli
Album Natuliza Boli
date of release
19-02-2018




Attention! Feel free to leave feedback.