Lyrics Sophia - Ben Pol
Mswaki
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Sophia
Sophia
nikupeleke
Mpunguzi,
ah
Sophia
Sophia
nikupeleke
na
Mvumi,
ah
Sophia
Sophia
nikupeleke
na
Mazengo,
ah
Sophia
Sophia
nikupeleke
Mkuhungu
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Sophi
wangu
mi
nilizaliwa
Tanzania
kanda
yakati,
ah
Makao
makuu
twende
pamoja
tukauone
uzuri
wa
nchi
Ndugu
zangu
wa
Makole
wakarimu
wapole
Wanataka
wakuone
kabla
kurudi
Dar
Wakupatie
karanga
zabibu
na
uhemba
Lazima
uwakumbuke
ukifika
Dar
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Nakuzimia
vibaya
vibaya,
vibaya
vibaya
mi
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Sophia
Sophia
ah
a
a
a
ai
Attention! Feel free to leave feedback.