Lyrics Warira - Ben Pol
Tatizo
jina
lake
Halinkauki
mdomoni
Taswira
ya
sura
yake
Hain′toki
kichwani
Mapenzi
na
raha
zake
Nazi
miss
jamani
Matashititi
mahaba
yake
Aninyima
raha
ndotoni
Kama
shida
pombe
Niko
tayari
kuacha
Aje
tuyamalize
Si
sawa
mi
kuniacha
Kama
shida
pombe
Sigara
naacha
Aje
tuyamalize
Si
sawa
mi
kuniacha
Funika
kombe
mwana
haramu
apite
Kosa
gani
kubwa
lisisameheke
Niambie
basi
japo
nijirekebishe
Hii
hali
inatesa
nitakuja
nife
Attention! Feel free to leave feedback.