Bensoul feat. Kaskazini - Ile Kitu Lyrics

Lyrics Ile Kitu - Kaskazini , Bensoul



Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu (Sol Generation)
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Fanya ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu iko na kitu
Inanifanya niskie niko mavitu
Ukiendelea utasimamisha jitu
Nifanye vile mimi hufanyia chipo mwitu
Uko na swali niko na jibu
Reggee, Rhumba, yes, me too
Nguo, see-through, I can see you
Mambo yangu, yeah
And I know, and I know (Yes I know))
Umekuja ukiwa commando
Ukinishika sitasema no (Sitasema no)
Oh no
On the low, on the low (On the low, low)
Nimekudigi toka kitambo
Zikishika basi let us go
Let's go
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Fanya ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Mwanaume akiridhika amesharidhika
Na pahali tumefika umeshanizika
Umeshanishika, zimeshanishika
Najua bila wewe mimi sijakamilika
'Cause you're a peng ting girl
Unavyotingika fimbo imerise
Jasho inamwagika
Umeniweka kwenye zone
I wanna be with you alone, yeah
And I know, yes, I know (I know)
Umekuja ukiwa commando (Commando)
Ukinishika sitasema no
Oh no
'Cause on the low, on the low
Nimekudigi toka kitambo
Zikishika basi let us go
Let's go
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Fanya ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya
Inafanya niskie kufanya ile kitu
We doin' it, we doin' it, we doin' it again
We doin' it, we doin' it, we doin' it again
Suda, and Kaskazini
On the, on the, on the
Sol generation
Fanya fujo fujo, nikute mama
Oh, mama, mama, mama, mama
Fanya tena mama




Bensoul feat. Kaskazini - Ile Kitu (feat. Kaskazini) - Single
Album Ile Kitu (feat. Kaskazini) - Single
date of release
02-12-2019



Attention! Feel free to leave feedback.