Bensoul - Sugar Rush Lyrics

Lyrics Sugar Rush - Bensoul



Je unakumbuka
Kule tumetoka
Miaka imepita yeah (my love)
Ona vile picha (mmmh)
Jua likitua
Nyota zinatangaza
Kuwa nakupenda
Na wewe unajua
Unajua mama ma
Mama my love
We ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar my sugar rush
Wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
Mwanga wangu
Furaha yangu
Raha yangu
Je ungependa (mmmh)
Tuonane tena
Ju mi huku-miss sana (my love)
Kila siku nakuwaza (oooh yeah)
Jua likitua
Mwezi utatangaza
Bado nakupenda
Wewe unajua
Unajua mama ma
Mama my love
We ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar, my sugar rush
Wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
Mwanga wangu
(Uyee uyele uyelelele)
Furaha yangu, raha yangu
(Uyee uyele uyelelele)



Writer(s): Bensoul


Bensoul - Medicine - EP
Album Medicine - EP
date of release
07-05-2021




Attention! Feel free to leave feedback.