Benzema - Kasheshe Uongo Lyrics

Lyrics Kasheshe Uongo - Benzema



Congestina Female best boxer
Fatuma zarika plan B umeichonga
Waliwacha champe yetu akikopa
Boxing ring Hadi street chokora
80k ni joemuchiri aliget
300k ni club covid ili get
Jowi iza jela ulisuffer
Sheryle anyango alikunywa wine kutoka haga
Ayeiya ayeiya rest in peace ulikua bazenga
Huddah anadinyana na ngoma za
Ommollo malaya wewe usiseme huskizi ommollo
Cyberbully ni tabia ya mamono
Babu owino, james orengo, kartelo na Alejandro
Recheal shebesh alipigwa K.O na former governor Evance kidero
Mlicheka ikapitwa na upepo
Mwache kutumia picha za vera for punyeto
Uko chini ya miaka kumi na nane
Jim watt unaendelea aje
Pilipili alinipea morale
Abbas kubaf alikua akue kanye
Mafans imagine kua star
Imagine Kila time huwezi panda Matt ya mtaa
Imagine Kila time wanakuomba tuu chapaa
Imagine Kila time wanaongeza tu tamaa
Samuel wanjiru marathon runner
Walikumada evidence nadra
Uyo dame alipatikana blunder
Fans walianza story za umama na ukahaba
Dennis the menace mtoto wa mama oliech
Shakes super strikers dennis oliech
Respect olunga anarep
Tuko prep edgar obare ako kwa net analeak leakage kwa internet
Anaexpose mafisi na mafisilet
Lamba lolo lambs lolo
Kikundi Bora mwaka iliopita
Nyi manyoka saizi mnawatoa sifa
Ethic watakua the next justin bieber
Easy Kama doremi benzema breeda
Nyamba nuse kartelo
Bado ni maninja
Nimechoka ufago mtakoma
Inspekta mwala bado anatombwa
Mama kayaye nickname ya ngwaci
Cream ngwati 50k views
Nyi mapervert mnawatch tu!!
Octoppizzo (0hanga) ukiwachwa na muzungu
Ndugu!!! Wacha joh kubuy views
Hizi ndio story zinatamba kea mitandao
Utadhani mko tag team na makarao
Sekunde moja ushalike picha Kama thao
Fuck you!! Niko high joh kwa platue
FUCK YOU!!! FUCK YOU??



Writer(s): Benzema


Benzema - Kasheshe Uongo
Album Kasheshe Uongo
date of release
08-05-2020



Attention! Feel free to leave feedback.