Boondocks Gang - Mboko Haram Lyrics

Lyrics Mboko Haram - Boondocks Gang



Ha ha ha
Odi Wa Murang'a
(Genge la bundoksi)
Haya
Ahh
Odi wa Murang'a nimekam na mandom
Hizi tire ninaseti zimetoka Ngong (ah)
Chini ya waba huwezi nipata mi ni ka Saddam (utaniua)
Kama mboko mnarealize si ni ma haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram aah
Pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ai aii)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ye yeah)
Aah pigwa mboko local kushothol nyoto
Ako shopo lotion mapunyeto
Ita poko mashada ka ni mental
Unang'oa madam ni ka ni dental
Najiaminia nina nguvu bila njugu
Unastuka na utathoshwa na kirungu
Ngeus slayqueen amechezea madudu
Na ako dudu na nyuma ana tundu
Toka grrn nina jaba nikuchum
Nikusetie kichom nikuroll ie kindom
Nikuchambue kiform, nikumangie kishow
Nikutarue before, nikuzamue dufo
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram aah
Pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ai aiih)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ye yeah)
Piga koto, uwashwe na kingoto (ati ngoto)
Shika toto amejazwa na kijoto (ati joto)
Vile ni ngumu hadi kuliko kokoto (ai aiih)
Ako kejani nimkule tu kimboto (ati mboto)
Haram ni moto zikishika teka ngoko (ati ngoko)
Gizani ni kungori kumejaa mapoko (ati poko)
Itabidi ndo nijenge hii kikoko (ai aih)
Ndio nipande nijengwe ki-round 4 (ai aiih)
Nina murambe na muratish kwa kikombe (kikombe)
Ndio nisanif zile nono na si konde (si konde)
Kama fourty, itisha zote (ai aiih)
Akirombosa, ongeza token (ye yeah)
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram aah
Pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ai aiih)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ye yeah)
Odi wa Murang'a mi ni ka Warofoko
Niko VIP dem yako amewekwa makomboko
Watho waitika akijileta pita nako
Na nikishothora ongeza cocktail ya karofo
Niko na risto
Za ukagito
Juu kina Bosco
Na mbogi yao
Walipoteza
Mavajo zao
Kwa hizo mikono zao sio kwa madem wao
Nishai vuta mbichwa nika spenki wagithomo
Na mi si fala, najua nini hukaa kamoshono
Ka singekuwa rapper ningekuwa refa wa ngono
Unaendaje round moja, kunywa supu ya konokono
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram aah
Pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Hey, hey
Ngoja kidogo, kidogo, wewe, kidogo kidogo
Hamna heshima, vile tulisikizana hamjafanya, why?
No, masaa ni mbaya, tokeni mwende
Tokeni mwende
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Mmmh aah mboko haram (mboko haram)
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ai aiih)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram (ye yeah)
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram (ye yeah)
Oya oya oya oya oya oya
Eeeh mi unaeza niita Kartelo ama unaeza niita kwako
Eeeh leo niko na mbogi ya Bundoksi
Eeh tunakuja kuchachisha
Uliskia kwa hii game si ndo tunakuwaga ma headmaster
Nyi labda mkuwe depa
Eeeh Kabisa!
Tumekuja kuroria, kuchachisa
Leo hatuchezi ki ongwes, leo tunacheza kisisi
Tuwapekele na rieng mbaya sana
Kabisa!



Writer(s): Edward Kimachu Irungu, Tony Kinyanjui, Francis Macharia


Boondocks Gang - Mboko Haram
Album Mboko Haram
date of release
15-11-2019




Attention! Feel free to leave feedback.