Lyrics

PIGA LAP
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Yoh clamer amemakia beat naifinya naifinya naimalo
Hater ameniletea beef naikula naifinish na ugalo
Hakuna county hatuezifika juu juzi laikipia tulimalo
Time ya epl ikifika huezinishow hadi saa sita nitahepa daro
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Ah si go down make your daddy go out
Siwezi withstand kukucheki na gown
Me one in a mills kama wale ma clown
Usipocheza chini ya maji utadrown na ni foul
Naikulanga kama mega
Ah supa mega sipo tini kama vera
Juu material ni kangeta so inabaki ameteveva
Ianibeba speedy sana ka mbegega
Huyu mtoto ananitesa ianenda aluta kama kesha
Shikisha ka me wazazi wake wanaprefer
I cant be a looser alafu nirudi reserve
Tufike down ukitwerk tupatane magidhaa
Nikipatch maridhaa niko fiti maridhaa
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Niko na mindset ya billionare na confidence ya fala {wawawa}
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap tuchekiane baadae
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap basi basi piga lap
Piga lap tuchekiane baadae
Naamka five gava punguza ka price
Nauma tu bites ka ni swimo me nadive
Ukireply manze yako kula fries
Yoh mshike aende down low
Confidence ni ya parrot
Looking biz tuko easy
Fanya hizi size wakipripri
We ni gold digger weekend ati nikukatishie mzinga

Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Ndereba Macharia, Edward Kimachu Irubgu Copyright: Black October Music

Attention! Feel free to leave feedback.
Loading
Loading