Boutross - Wrong Lyrics

Lyrics Wrong - Boutross



Pass me the lighter
Oh-oh-oh, I got it, I got it
Yo, yo
Yo, yo
Ay, ooh
Yo
Kama si cheque, buda usinicall, number ni wrong (Number ni wrong)
Kama si ganji, acha mtu IG hanging, ay
Wacha wakuwe na makali
Mi buty naenda kushika makali, ay
Buda niliachanga kusota
Siku hizi nazipanga tu kama mlami, ay
Nachora vile ntasonga mbele, buda zenyu ni kelele
Vile walikuwa wamedoze nikaa mafala wamewekewa matembe
Mi nika boy ka mtaani lakini niko Karen nikidinya hawa walami, ay
Vile nasave mangeos, siku hizi naitwanga tu hodari, ay
Mistari inatisha, geri ni kutoka kumi na sita
Vile hii game naiwinda nashindwa mbona bado sijasikika, ay
Buda navuta umati, word on the street ni geri ni safi
Buty ni zawadi ya mtaani ya wale wote hawakubali kipaji
Kama si cheque buda usinicall, number ni wrong
Cheza na thing wacha kuniharibia form
Kaa wewe si peng, usinicall number ni wrong
Nadai kadame kamebeba ki-Corazon
Mbona ustress buda mimi hubonga na Don
Geri hatari si hugeuzanga form
Buda usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi thought ulijuanga form
Kama ni ndenga swali ni mbona bado unadoze tu kavu
Haujambiwa hao mandenga ndio wanakuwanga na matabia nyaru
Piga pete kitu safi mpaka utambua hiyo punyeto chafu
Wanapendanga ma-panya, juu wao huskizana tu na mambaru
Roho ya watu chafu, juu niko kwa sofa na hao sakafu
Vile naona mboka ikijipa utaniona soon nikidunga barafu
Waliita shrap ujinga, saa hii ujinga buda inashika, ay
Hao mangeos wote waliringa mi nitawadinya na buda mi siataficha, ayy
Buda nipate kwa kitchen, mi sikati nakoroga
Buda ata vile nabonga utajua maboy wangu wote wako mboka, ay
Cheki ngeos wako aliomoka vile Mus' alibring out the Rover, ay
Buda ni 2019 nilidhani watu waliachana na manyoka, ay
Vile hii game inatamba cheki ma-opponents nao wamechoka, ay
Vile huyu dame anagawa na bado maboy wanadai kuichota, ay
Boy jaribu kuzoza urudi mtaa na ma-face tatt za ma-timber, ay
Buda niliachanga number ndio usintafute
Unaweza piga but...
Kama si cheque buda usinicall, number ni wrong
Cheza na thing wacha kuniharibia form
Kaa wewe si peng, usinicall number ni wrong
Nadai kadame kamebeba ki-Corazon
Mbona ustress buda mimi hubonga na Don
Geri hatari si hugeuza form
Buda usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi thought ulijuanga form



Writer(s): Boutross Mwebia Munene


Boutross - Wrong
Album Wrong
date of release
07-06-2019

1 Wrong



Attention! Feel free to leave feedback.