Breeder LW feat. Young Killer Msodoki - Down 4 Real Lyrics

Lyrics Down 4 Real - Young Killer Msodoki , Breeder LW



Huyu ndiye Bazenga Daddii
Ako na Young Killer, yule wa Tanzania
Uh
Nikue Nairobi au Dar nina wasela watani hold down for real, for real
Na vile bado kunakaa we ukisleki si utatoka hapa nil, nil
Una unafiki sihusiku na wewe
Hatukujui na una mingi kasheshe
We unataka me ninyimwe upewe
Una unafiki sihusiku na wewe
Una unafiki sihusiku na wewe
Hatukujui na una mingi kasheshe
We unataka me ninyimwe upewe
Una unafiki sihusiku na wewe
Ah



Writer(s): Paul Otieno


Breeder LW feat. Young Killer Msodoki - Bazenga Mentality
Album Bazenga Mentality
date of release
18-06-2021



Attention! Feel free to leave feedback.