Breeder LW - Mambo Shwari Lyrics

Lyrics Mambo Shwari - Breeder LW



Nasababisha na maarif ni ma bregin na magwangi ma jaber wako ndani ka
Hauna wako samahaniwe unatoka area gani hatukujui na hatujali na
Hatujali ka zita shuka mi sidhani good vibes mambo shwari(shwari)
Good vibes mambo shwari(shwari)good vibes mambo shwari(shwari)
Nasababisha na maarif ni ma brejin na ma gwangi good vibes mambo
Shwari(shwari) good vibes mambo
Shwari(shwari) majaber wako ndani ka hauna wako samahani
Niko area za lavi spending hii ni profit ya jana na juzi zero
Pressure tume tuliz sibongi mingi mi si sudi leta upuzi abiro chwadi
Maweekendy si kosi uradi dry fry ni ya mbuzi adisia kachumbari vile
Aisha hunipikia mahamri naona ni ye nitamarry biz kama si halali ndo
Italeta pesa na mahoney lighter leta washa ki bomb papa fathela ama
Jakom hii ni spectacular form silali hoi no more wera yangu ilianza
Ka hobby usiaingoja white collar mandege ndo ndula za mbogi
Ziumeremeta kwa solar kwa grao bado mi ndo bombi man bader than ebola
Nasababisha na maarif ni ma brejin na magwangi majaber waki ndani ka
Hauna wako samahani we unatoka area gani hatukujui na hatujali ka
Zitashuka misidhani good vibes mambo shwari(shwari)good vibes mambo
Shwari(shwari)good vibes mambo shwari(shwari) nasababisha na maarif
Ni ma brejin na magwangi good vibes mambo shwari(shwari) good
Vibes mambo shwari(shwari) majaber wako ndani ka hauna wako samahani
Ati breeda hajulikani please mind what you say b napea ratings adi
Eld greatness ndani ya kila gene kila fan shukrani bila nyinyi mi nta
Vanish tuki linki niwachomee kijamo matisho za TK zisonge kusonga ehe
Faster kanyaga tufike form haraka pongi tu no haga form za umati
Hapana kuna lingo napenda kama msupa ku kujanga mapema eeh eeh ndani
Ya keja hujui ni lini juu hakuna calender tuko wengi but am the eless
Steam mziki sai big beness I was up on your wing like biress ni ma pa
Pa pa ziskike lakini boy utajikata na gelette ni maswara
Sidai zishindwe ka ni opra nilikuwanga nadai si tuko set ka vixen
Nasabisha na maarif ni mabrejin na magwangi majaber wako ndani ka
Hauna wako samahani we unatoka area gani hatukujui na hatujali ka
Zitashuka mi sidhani good vibes mambo shwari(shwari) good vibes mambo
Shwari (shwari)good vibes mambo shwari(shwari) nasababisha na maarif
Ni ma brejin na magwangi good vibes mambo shwari(shwari) good
Vibes mambo shwari(shwari) majaber wako ndani ka hauna wako samahani
END)



Writer(s): Paul Baraka Otieno


Breeder LW - Mambo Shwari
Album Mambo Shwari
date of release
23-10-2020




Attention! Feel free to leave feedback.