Brian Nadra feat. Bon'eye & Konkodi - Bonge Lyrics

Lyrics Bonge - Brian Nadra feat. Bon'eye & Konkodi



Hood boy, yani boy wa mtaa
Juu tu sana, yeah you know I'm a star
Drinks on me we gon' buy the whole bar
Fukuza hii baridi na ka fries siko njaa
Huh, hivo wanashangaa
Bro, nini hiyo umevaa
Swagger balaa
Nikishika mic
Pale madem wana, swalla-la-la
(Swalla-la-la-laa, swalla-la-la-laa)
Hahaha (Swalla-la-la-laa)
And I'm only getting started
Crazy not retarded
Groupies show me love, DMs are bombarded
Any time you see me, I be fresh out the oven
Yani hot cake, got the looks from my daddy
Phobia yangu ni kufa msoto
So I'ma go hard kama punch ya kushoto
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge, (Yeah, nani)
Bonge, (Bonge), bonge (Yeah)
Tunawapa mavidonge
Ni yule headmaster, karibu darasa
Leta nyoko nyoko, nyahunyo nachapa
Rarua hizi traki hadi zina
Chafua meza, muna changa, huh
Sina pesa kwa kibeti, zote kwenye benki
Mulla in plenty
Funga biashara kama haileti
Ka salo kako kwangu, ni ka petty
Ni yule boy wa Kangemi
Ulizia pale, kwa wa Boni
Mgenge halisi yani tangu zamani
Bad boy au pia baba watoto
Mzee wa familia, uh, kama Jomo
Sipendi mizozo
Jifanye mjuaji unakula kokoto
Nadunga madigaga wakidai za macho
Chonjo, chonjo
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Hii ni master copy, wana role play
Kuja na ripple I am the new wave
Skinny ninja, ego bonge (bonge)
Yes ni Konkodi but buda keep change
I make 'em go bananas imebaki, imebaki wameze ndizi
Give it a run, give 'em a run, Wakimbizi
Uh,what a gwan, sijali cost ya kupiga mbizi
Mi si celeb, but nina msupa anaitwa Kiki
Mpe D, a-go gaga
Sema digaga kama gyna
Sitafuti pini, purpose yangu msupa shuka nitapanda
Backstage quickie, quickie
Juu maze nina haraka
Kwa boxer baraka, kakinyang'unya chapa chapa
Nikamserve sasa mtoto amedata
Alitaka amepata, chora number
Toka keja akitembea kama bata
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
This is your captain speaking welcome abode the high life
We're now flying 35,000 feet above the planet earth
Cruise level
We'll be serving you pure niceness so just kick back and relax
And enjoy the ride...



Writer(s): Eric Musyoka Lamu


Brian Nadra feat. Bon'eye & Konkodi - Bonge
Album Bonge
date of release
12-08-2019

1 Bonge



Attention! Feel free to leave feedback.