Bright - King'asti Sugu Lyrics

Lyrics King'asti Sugu - Bright



Ohoooo
Mfukoni sina Kitu Nimechacha
Utanambia nini
Kiboko ya Vingasti na Madanga
Mtoto wa Mjini
Me ndo bingwa wa kuteleza kwa Maganda
Machimbo yote nayajua mimi
MaBoss na MaDon nawaganda
Viwanja vyote naingia Mimi
Pande zote natimba
Japo sina kitu navimbaa
Ukishoboka naringaa
Wachat kibao nawawinda eeh
Wananiita Sugu
Eeeh eeeh
Kingasti Sugu
Eeeh eeeh
Na kama wewe unitaka Mimi
Onga Onga Eeeh
Msingi kiuno Mjini maneno
Onga Onga eeeh
Nawakomesha Madada Mjini
Onga Onga Eeeh
Msingi kiuno Mjini maneno
Onga Onga Eeh
Me ndo BrazaMen
Nyumbani Tandare nashinda Mikocheni
Watoto wakaLe shingoni macheni
Napiga Mishare kama Bushmen
Am GentLeMen
Pesa naomba NikaLe
Hata Pamba nitaazima nivaee
Ili mradi nipendeze ningaeee
Eeeh
Kiwanja nimekuja Mwenyewe
Na Bia za Offa nileweee
NauLi ya Kurudi nipewe
Eeh
Pande zote natimba
Japo sina kitu navimba
Ukishoboka Naringa
Wachatu Kibao nawawinda
Wananita Sugu
Eeeeeh
Kingasti Sugu
Eeeh
Na kama wewe unanitaka Mimi
Onga Onga Eeeh
Msingi Kiuno Mjini Maneno
Onga Onga Eeh
Nawakomesha Madada Mjini
Onga Onga Eeh
Msingi Kiuno Mjini Maneno
Onga Onga eeh
Ooo wanaita Sugu onga Onga ee



Writer(s): bright


Bright - King'asti Sugu
Album King'asti Sugu
date of release
06-11-2017




Attention! Feel free to leave feedback.