Bright - Ni Wewe Lyrics

Lyrics Ni Wewe - Bright



Unanifanya nafarijika kipenzi kweli unanivutia,
Mwenzako roho mkononi,
Sina ujanja umenimaliza yani maji shingoni,
Ahhhhh
Ina maana hunioni,
Navyoteswa na penzi lako kama nipo motoni
Oyeee,
Umeziba mboni ya jicho (zaidi yako simuoni),
Umenificha mafichoni (mi mateka kifungoni),
Baba na mama wakuone,
Magonjwa yangu mi nipone,
Yale madanga yanikome,
Chochote kwako nimeridhia,
Baba na mama wakuone
Magonjwa yangu mi nipone,
Yale madanga yanikome,
Chochote kwako nimeridhia,
Ni wewe, niwe, ni wewe
Unaenifanya nafarijika kipenzi kweli unanivutia,
Ni wewe, niwe, ni wewe
Unaenifanya nafarijika kipenzi kweli unanivutia,
Usinifanye vibaya, haijengi roho mbaya yee,
Mapenzi sio mabaya, binadamu ndo wabaya,
Usinifanye vibaya, haijengi roho mbaya yee,
Mapenzi sio mabaya, binadamu ndo wabaya,
Uzuri wa asiliaaa, kiukweli unanifaaa,
Napenda zako tabia, nimekufa kabisa,
Mimi sina mashaka na wewe, umenipumbaza kama pombe nilewe,
Asali tamu nyuki ni wewe, mi ni kifaranga nichunge na mwewe.
Umeziba mboni ya jicho, (zaidi yako simuoni),
Umenificha mafichoni, (mi matekkifungoni yeee),
Baba na mama wakuone,
Magonjwa yangu mi nipone,
Yale madanga yanikome,
Chochote kwako nimeridhia,
Baba na mama wakuone,
Magonjwa yangu mi nipone,
Yale madanga yanikome,
Chochote kwako nimeridhia,
Ni wewe, niwe, ni wewe
Unaenifanya nafarijika kipenzi kweli unanivutia,
Ni wewe, niwe, ni wewe
Unaenifanya nafarijika kipenzi kweli unanivutia.
...end...



Writer(s): Bright


Bright - Ni Wewe
Album Ni Wewe
date of release
02-10-2016




Attention! Feel free to leave feedback.