Lyrics
combination
sounds
Bora
nilale
nje
kuliko
humu
ndani
mi
sitoweza
maelewano
hakuna
ukinikosea
wataka
kubembelezwa
Hivi
humu
ndani
mume
nan
Ukinikosea
huombi
samahani
hivi
kwan
w
n
mke
gani
kazi
kiburi
tu
na
kisirani
Kwanza
nimechoka
sana
na
zako
kelele
mi
nalala
bwana
maana
unaongea
sana
kila
siku
huishi
lawama
Ina
maana
ninanyoongea
hayana
mana
haya
ndo
matatizo
yako
mama
au
mwenzangu
umeshapata
kabwana
wenda
ndio
kanakuchanganya
Umebadilika
sana
aaaaaa
Tofauti
na
nyuma
aaaaaa
×2
Hivi
we
mwanaume
unanini
Leo
umeamka
na
mimi
Maneno
maneno
ya
nini
au
unataka
visa
na
mimi
iiiii
Na
nitaondoka
kelele
kelele
nachoka
Usinione
mi
lofa
nakuangalia
tu
Mimi
sipigi
kelele
nakurekebisha
ueleww
kosa
lako
ww
unapaswa
unisikilizeeeee
Mimi
si
wakula
vibandani
kama
hela
mi
siachi
hapa
nyumbani
Hivi
kwani
we
ni
mke
gani
usiejua
kunitunza
mme
ndani
Mbona
yako
mi
siyaongei
nayoyasikia
hukooo
Au
unaona
hunikosehi
badili
mwendo
wakoooo
siku
ngapi
hujalala
nyumbani
unasingizia
kazini
waniacha
na
watoto
nyumbani
kumbe
unalala
jiraniiii
anhaaa
Ukweli
naujua
mimi
wala
sio
wewe
hayo
mambo
kakwambia
nani
usiyasikilize
kumbuka
tulihapa
kwa
mananii
utakuwa
wangu
tu
na
mambo
unayoyafanya
hayafanani
nakwambia
mume
wangu
Maumivu
ya
Penzi
hayawezi
kupoa
kama
mwiba
unavokuchoma
siwezi
kukuacha
we
ndo
mboni
yangu
unaelifanya
jicho
kuona
Na
nitaondoka
kelele
kelele
nachoka
Usinione
mi
lofa
nakuvumilia
tu
umebadilika
sanaaaaa
Tofauti
na
nyumaaaaa×2
Mi
naondoka
usiondokee
Nimechokaaaaa
usichokeeeeeee
Mi
naondoka
usiondokee
we
vumilia
sitorudia
Attention! Feel free to leave feedback.