CHIDI BEENZ - Hasira za Nini Feat Alikiba Lyrics

Lyrics Hasira za Nini Feat Alikiba - CHIDI BEENZ



La familia
Chid benz
Alikiba
Uuuuuuuh
Hasira za nini kwanin huniamin
Kama me mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjini
Ili uniache mimi
Lakini mwenzio bado nakupenda
Hasira za nin kwanin huniamini
Kama me mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjini
Ili uniache mim
Lakin mwenzio bado nakupenda
Chakula hakiliki kama nsipokuona
Haipiti chai, milk wala ndafu ilonona
Laazizi wa ubani mchumba
Mashaalah Mola kweli alikuumba
Huna kasoro umejazika
Mlaini kama godoro kiuno unakatika
Nabangaiza vibarua mchana usiku
Japo nipate chochote nije tule ipite siku
Maneno ya waongo
Wanaharibu makusudi
Usafiri mjin tabu napochelewa kurudi
Usinihisi vibaya ukanuna ukavimba
Ukatamani unirarue ugeuke simba
(Ugeuke simba beib, hasira za nin)
Hasira za nin Kwanin huniami
Kwamba me mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjini ili uniache mimi
Lakin mwenzio bado nakupenda
Hasira za nin kwanin huniamini
Kwamba mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjini Ili uniache mim
Lakini mwenzio bado nakupenda
Mamy punguza hasira na unisikilize mim
Please acha kuzira hivo unaniumiza mim
Sina mwingine zaidi yako haki ya nani
Moyo wangu upo kwako
Kwingine sitotaman
Nilizunguka pande zote
Nliona warembo wote
Kote nlisimama kwako
Naanguka niokote
Unanipa morali ya kutafuta mapesa
Najaza kibubu
Maisha mbele yasije tutesa
Pesa ndo kila kitu
Nazisaka mchana usiku
Siwez kuishi kwa karaha
Nakwambia kila siku
Popote kambi
Chochote kwan ndo life honey
Sitaki kujilia njaa nazisaka nje ndan
Jasho langu ulipate isikukumbe tamaa
Japo nlete mkate wakinishinda dagaa
Nipende usiniache mama usije tambaa
Napokumbata nikumbate
Wangu wa shida na raha
Hasira za nini mamaaaa
Chid Benz hapa
Hasira za nin kwanini huniami
Kama me mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjini Ili uniache mim
Lakin mwenzio bado nakupenda
Hasira za nin kwanin huniamin
Kwamba me mwenzio bado nakupenda
Maneno mengi mjin ili uniache mim
Lakin mwenzio bado nakupenda
Usinihukumu vibaya
Kwa maneno ya watu
Wabaya
Wasiopenda maendeleo kwa watu
(Usinihukumu vibaya
Kwa maneno ya watu
Wabaya
Wasiopenda maendeleo kwa watu)
Usinihukumu vibaya
Kwa maneno ya watu
Wabaya
Wasiopenda maendeleo kwa watu
(Usinihukumu vibaya
Kwa maneno ya watu
Wabaya
Wasiopenda maendeleo kwa watu)
Yoooo hahahahaha
Ni chid chichidi chid chichidi chid benzi
Chid Benz yaaa
Na Ali k
Alikiba kiba kiba kiba kiba kiba ooh
Na chid B
Chid chid chid chid aah
Chid chid chid chid ooh
Nasema tena aaah
Kiba kiba kiba kiba hehehe
Yoyoyoyoyo Marco Chali, kgt
Mj records na G records
Yeeeh here we go la familia forever
Ilalaaaaaa
Mamy usihukumu vibaya kwa maneno ya watuuuuu... Maendeleo kwa watu
Mammy usinihukumu vibaya
Kwa mamneno ya watwabaya
Wasiopenda maendeleo kwa watu.



Writer(s): Chidi Beenz


CHIDI BEENZ - The Best of Chidi Beenz
Album The Best of Chidi Beenz
date of release
13-01-2020




Attention! Feel free to leave feedback.