Cannibal feat. Sharama - Kichwa Kibov Lyrics

Lyrics Kichwa Kibov - Cannibal feat. Sharama



Intro (Cannibal)
Yeah
Ipo shida
Skia wazim wa kisanaa
Majit fanya maji
(Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
1 (Cannibal)
Uchungu mi naskia mi na-cry oh my
Kwenye microphone nafoka till I die why lie
My destiny
What is best for me
Prophecy ishanikamata tell me what's the deal
Kwa mashujaa
Cannibal ni emperor
Kwa hii sanaa
Elimisha vijana
Example wa Kamlesh nafuata msafara
MCs
Nightmare mi ndio horror...
(Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
2 (Sharama)
Upuzi ndio kazi
Naji-cover na kipaji
Maskini chaudhi
Napiga muudhi
Wa U.K.O.O
Flani
Mwana adhamu
Keti kalamu
Natema mistari kwa mwendo wa kasi
Nasonga ka farasi
MCs shipavu
Navunja masenge bavu
Staki upumbavu
Sura mbaya
Kuja paya
Vichwa vigum
Mavusha ndum
Sura mbov
Ulikebo
Msanii
Shika karatasi na kalamu
Toka jasho la damu
Unajipima damu kutoa salamu
Drop ma-bomb ka Sadaam...
Makavi na MC...
Sharama mukoye
(Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
(Cannibal)
Shatta man napigania
Mziki ni mradhia
Hanijali ya
Mola nionyeshe njia
MCs bandia anzeni kukimbia
Mapati ushazalia
(Sharama)
Panda kama unataka kwenye floor
Manjo nivyo
Bli bli blo
Nakukata hivyo
(Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
Natema juu ya microphone sura mbov
Hiki ni kilio
Juu ya instrumental
Kwenye studio
Kuna ku-rise na ku-fall




Cannibal feat. Sharama - Street Hustler
Album Street Hustler
date of release
29-07-2014



Attention! Feel free to leave feedback.