Christian Bella feat. Malaika Band - Rudi - translation of the lyrics into English

Lyrics and translation Christian Bella feat. Malaika Band - Rudi




Rudi
Rudi
Ose bandu Papa naRose
I wish I could see you, Rose
Mimi natamani saa ziende fasta fasta
I long to see you soon
Siku ziende mbio nikuone mamaaaa
I'll run to you as soon as I see you, mama
Ukiwa mbali na mimi sijiwezi mamaaaa
When you're away from me, I feel so lost, mama
Unajuwa nadai kuonaa
I long to see you
Tabasamu lako na vituko vyako mamaa
Your smile and your antics, mama
Nimekuwa kama mwendawazimuu
I've become like a wandering madman
(Yelle Ngoswe VIP)
(Yelle Ngoswe VIP)
Mimi mapenzi nambie dunia yako ni wapiiii eeeah
My love, tell me, where is your world, my darling?
Umekuja gafla katika fikra zangu aaaaaah
You came into my thoughts suddenly
Bila uchawi bila hata ndumba mamaa
Without magic or sorcery, mama
Mtoto kaniwezaa kafanya mpaka nadata kaondoka tena
My child has captivated me, made me forget everything
Unajua nadai kuona
I long to see you
Tabasamu lako na vituko vyako mamaa
Your smile and your antics, mama
Nimekua kama mwendawazimu
I've become like a madman
Batombelembele Welliams [?]
Batombelembele Welliams [?]
Boss mutoto
Boss, my child
Apocalips and Bella
Apocalips and Bella
Ghafla tu hapokei simu zangu na messange hajibu
Suddenly, she doesn't answer my calls or messages
Nashangaa (hapokei simu zangu message hajibu)
I'm surprised (she doesn't answer my calls or messages)
Kutumiwa picha zake za kwenye starehe
I'm sent pictures of her partying
Siotena yule yule kabadilika
She's not the same anymore, she's changed
Syakipemba
Syakipemba
Ghafla tu hapokei simu zangu na messange hajibu
Suddenly, she doesn't answer my calls or messages
Nashangaa (hapokei simu zangu message hajibu)
I'm surprised (she doesn't answer my calls or messages)
Kutumiwa picha zake za kwenye starehe
I'm sent pictures of her partying
Siotena yule yule kabadilika
She's not the same anymore, she's changed
Angalia nimekua kama ndege aliyenyeshewa mvua
Look, I've become like a bird drenched in rain
Wapi kiota, mi nikimbie
Where is my nest, where can I run to?
Mpenzi ulisema kwamba mimi ni wako
My love, you said that I'm yours
Na piaukasema kwamba niko yangu
And you also said that I'm mine
Inaniuma saana Upendo wako wasije wakununue
It hurts me so much, my love, don't let them buy you
Balqis Rehema, Mama Teresia
Balqis Rehema, Mother Teresa
Mapenzi kutu gani tafsiri yake
My love, what is the definition of love?
Niroho mbili zikutana shi-shikana kama gundi mawazo moja
Two souls meeting, clinging to each other like glue, one mind
Najua upo mbali basi baby rudi naumia
I know you're far away, but baby, come back, I'm hurting
Moyo wa mapenzi nimezaliwa nao
I was born with a heart of love
Nimeumbiwa wengi lakini nimekupenda wewe
I was created for many, but I love you
Ukombali machoni karibu moyoni
Far apart but close at heart
Bella Chris eeh [?]
Bella Chris eeh [?]
Hapokei simu zangu message hajibu
She doesn't answer my calls or messages
Nashangaa, hapokei simu zangu massege hajibu
I'm surprised, she doesn't answer my calls or messages
Natumiwa picha zake za kwenye starehe
I'm sent pictures of her partying
Siotena yule yule kabadilika
She's not the same anymore, she's changed
Kichwa eeh, kichwa eeh
Mind, eh, mind, eh
Kichwa eeh, Kichwa eeh
Mind, eh, mind, eh
Mapenzi inafanya mutu kuwa kama chizi
Love makes a person like cheese
Kwanini unanitesa unataka niwe kichaa
Why do you torture me, do you want me to go crazy?
Penzi lako limeniumiza moyoni
Your love has hurt my heart
Siosumu inaua sio fimbo inaumiza
Not poison kills, not a stick hurts
Nimeshachoka kukusubiri baby
I'm tired of waiting for you, baby
Najua mapenzi ndio shule ngumu katika uwanadamu
I know that love is the hardest school in humanity
Ndomana navumilia ndomana nakuimbia
That's why I'm patient, that's why I sing to you
Nowela MamaNachunya
Nowela MamaNachunya
Hapokei simu zangu message hajibu
She doesn't answer my calls or messages
Hapokei simu zangu message hajibu
She doesn't answer my calls or messages
Natumiwa picha zake za kwenye starehe
I'm sent pictures of her partying
Siotena yule yule kabadilika
She's not the same anymore, she's changed
Marry P, Mama na house
Marry P, Mama and House
Mama na Christopher
Mama and Christopher
Pretty Mazengo Boss lady
Pretty Mazengo Boss Lady
Mama Jacline Olande boss lady
Mama Jacline Olande Boss Lady
Hapokei simu zangu message hajibu (Cocongemba Solo)
She doesn't answer my calls or messages (Cocongemba Solo)
Hapokei simu zangu message hajibu ()
She doesn't answer my calls or messages ()
Natumiwa picha zake za kwenye starehe (Isq Babu Bomba)
I'm sent pictures of her partying (Isq Babu Bomba)
Siotena yule yule kabadilika
She's not the same anymore, she's changed





Writer(s): Christian Bella

Christian Bella feat. Malaika Band - Rudi
Album
Rudi
date of release
08-03-2018

1 Rudi


Attention! Feel free to leave feedback.