Lyrics Rudi - Christian Bella feat. Malaika Band
Ose
bandu
Papa
naRose
Mimi
natamani
saa
ziende
fasta
fasta
Siku
ziende
mbio
nikuone
mamaaaa
Ukiwa
mbali
na
mimi
sijiwezi
mamaaaa
Unajuwa
nadai
kuonaa
Tabasamu
lako
na
vituko
vyako
mamaa
Nimekuwa
kama
mwendawazimuu
(Yelle
Ngoswe
VIP)
Mimi
mapenzi
nambie
dunia
yako
ni
wapiiii
eeeah
Umekuja
gafla
katika
fikra
zangu
aaaaaah
Bila
uchawi
bila
hata
ndumba
mamaa
Mtoto
kaniwezaa
kafanya
mpaka
nadata
kaondoka
tena
Unajua
nadai
kuona
Tabasamu
lako
na
vituko
vyako
mamaa
Nimekua
kama
mwendawazimu
Batombelembele
Welliams
[?]
Boss
mutoto
Apocalips
and
Bella
Ghafla
tu
hapokei
simu
zangu
na
messange
hajibu
Nashangaa
(hapokei
simu
zangu
message
hajibu)
Kutumiwa
picha
zake
za
kwenye
starehe
Siotena
yule
yule
kabadilika
Syakipemba
Ghafla
tu
hapokei
simu
zangu
na
messange
hajibu
Nashangaa
(hapokei
simu
zangu
message
hajibu)
Kutumiwa
picha
zake
za
kwenye
starehe
Siotena
yule
yule
kabadilika
Angalia
nimekua
kama
ndege
aliyenyeshewa
mvua
Wapi
kiota,
mi
nikimbie
Mpenzi
ulisema
kwamba
mimi
ni
wako
Na
piaukasema
kwamba
niko
yangu
Inaniuma
saana
Upendo
wako
wasije
wakununue
Balqis
Rehema,
Mama
Teresia
Mapenzi
kutu
gani
tafsiri
yake
Niroho
mbili
zikutana
shi-shikana
kama
gundi
mawazo
moja
Najua
upo
mbali
basi
baby
rudi
naumia
Moyo
wa
mapenzi
nimezaliwa
nao
Nimeumbiwa
wengi
lakini
nimekupenda
wewe
Ukombali
machoni
karibu
moyoni
Bella
Chris
eeh
[?]
Hapokei
simu
zangu
message
hajibu
Nashangaa,
hapokei
simu
zangu
massege
hajibu
Natumiwa
picha
zake
za
kwenye
starehe
Siotena
yule
yule
kabadilika
Kichwa
eeh,
kichwa
eeh
Kichwa
eeh,
Kichwa
eeh
Mapenzi
inafanya
mutu
kuwa
kama
chizi
Kwanini
unanitesa
unataka
niwe
kichaa
Penzi
lako
limeniumiza
moyoni
Siosumu
inaua
sio
fimbo
inaumiza
Nimeshachoka
kukusubiri
baby
Najua
mapenzi
ndio
shule
ngumu
katika
uwanadamu
Ndomana
navumilia
ndomana
nakuimbia
Nowela
MamaNachunya
Hapokei
simu
zangu
message
hajibu
Hapokei
simu
zangu
message
hajibu
Natumiwa
picha
zake
za
kwenye
starehe
Siotena
yule
yule
kabadilika
Marry
P,
Mama
na
house
Mama
na
Christopher
Pretty
Mazengo
Boss
lady
Mama
Jacline
Olande
boss
lady
Hapokei
simu
zangu
message
hajibu
(Cocongemba
Solo)
Hapokei
simu
zangu
message
hajibu
()
Natumiwa
picha
zake
za
kwenye
starehe
(Isq
Babu
Bomba)
Siotena
yule
yule
kabadilika
Attention! Feel free to leave feedback.