Lyrics Pacha - Christian Bella
Kila
ukweli
sio
lazima
useme
Ikizidi
sana
lazima
ufunguke
Nilikuwa
dhahabu
mikononi
mwa
kipofu
Hakujua
dhamani
yangu
alinidharau
Udongo
wa
mfinyanzi
aridhini
Kujua
dhamani
yake
waulize
wafinyanzi
Nishapata
pacha
wangu
wa
milele
Katambua
dhamani
yangu
tunapendana
Pacha
ni
moja
ya
madini
Mola
baba
alificha
mbinguni
Umeshushwa
chini
ili
uwe
wangu
tu
Sauti
tamu
kama
nyoya
linachokonoa
sikio
Mikono
yako
inanimaliza
homa
bila
dawa
Ndo
maana
nakupendaga
sana
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Nimepata
pacha
ujue
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Aah
pacha
pacha
wee
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Raul
mashubedi
modern
fashion
Nani
mwenye
kipimo
cha
mapenzi
alete
Nipime
watu
wote
waone
Yes
mimi,
ju
mapenzi
ananipaga
mimi
Mimi
mimi
...
Pacha
pacha
wangu
we
Mshumaa
bei
rahisi
Unaweza
unguza
nyumba
ya
mabilioni
Chungana
na
maneno
ya
wapambe
Yanaweza
haribu
penzi
letu
Mtoto
wa
mama
eeh
Si
unajua
fresh
(Fresh
fresh
fresh)
Nakupendaga
sana,
mwana
mama
eeeh
Bado
pacha
usisahau
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Nimepata
pacha
ujue
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Aah
pacha
pacha
wee
Mi
nakupenda
baby
aah
baby
Bill
Gate
Katunzi,
mzamili
Nani
mwenye
kipimo
cha
mapenzi
alete
Nipime
watu
wote
waone
Yes
mimi,
ju
mapenzi
ananipaga
mimi
Mimi
mimi
...
Attention! Feel free to leave feedback.