Christian Bella - Shuga Shuga Lyrics

Lyrics Shuga Shuga - Christian Bella



Ah Shuga Shuga
Ah Shuga Shuga
Yeh, yeh, ye ye ye
Shuga Shuga Shuga eeh
Mama Shuga shuu shuu (ooh)
Mpenzi wangu shuga eh (eeh)
Kweli Shuga shuu shuu (ooh)
Oh, ah, oh
Utamu ya mutamu niongezee (niongezee)
Wape maji, vidonge wamezee (wamezee, eh)
Nanga ndo, nimepita balezee (balezee)
Iih, (iih)
Iih, (iih)
Iih, iih
By show I love you baby (eh)
Siwezi kuficha (oh, baby)
For sure you drive me crazy, crazy
Iih, (iih)
Iih, (iih)
Mwenzio, mwenzio, mwenzio (ooh)
Mikuno, mikito inanichanganya (ooh)
Viuno, milio nadata iih
We Mama Shuga shuuu
Shuga Shuga
We Mama Shuga shuuu
Shuga shuga
Ata waseme umenipiga juju (juju)
Ata waseme umenipiga juju (juju)
Break it down
Shuga shuga
Shuga shuga
Shuga shuga
Shuga shuga
John Chibangu mo Gemegalle, Jasmin Mama Mondelle
Apocalispo de belle Millionaire
Hii ni sauti ya Christian Bella, King of the best melodies
Side of Ighalo, raisi B (raisi B)
Eh, me me me, uh ah
Umenishika ki ukweli kweli baby
Na maji ya shingo, karibu nazama
A me motema, motema motema sherry
Come si nga denge, come si na ngu mwana
Come sina kiwelewele, kati tina na ngai
Moyo wangu umeridhia kuwa na wewe
Nikoleze (endelea kunikoleza, kwa sana)
Me, no staki figisu, (niache nile vitu)
Iih, (iih)
Iih, (iih)
Mwenzio, mwenzio, mwenzio (ooh)
Mikuno, mikito imenichanganya (ooh)
Viuno, milio nadata iih
We Mama shuga shuuu
Shuga shuga
We Mama shuga shuuu
Shuga shuga
Ata waseme umenipiga juju (juju)
Ata waseme umenipiga juju (juju)
Break it down, ah, break it down
Uh, ah tembea kidogo (shuga shuuu)
Inama kidogo (shuga shuuu)
Cheza kidogo (shuga shuuu)
Nipe mau (shuga shuuu)
Ooh, ah
Mwenzio, mwenzio, mwenzio
Mikito, mikito, mikito
Hunitekenya kila dakika, umeniweza
Makelele na vilio, nitakua crazy
Wamesema umenipiga juju
Wamesema umenipiga juju
Uh, ah tembea kidogo (shuga shuuu)
Inama kidogo (shuga shuuu)
Skiliza Sadick, (Papa na de Mama)
Hozee mu zaliwa (Papa na Kaka)
Mojje Bandu (Papa na Usi)
Jack Sobanuka (mujensou shilii)
Shuga shuu
Kingkong Music




Christian Bella - Shuga Shuga
Album Shuga Shuga
date of release
06-12-2017




Attention! Feel free to leave feedback.