Cindy - Nawewe Lyrics

Lyrics Nawewe - Cindy



How many times do i have to say?
I'm sorry for the wrongs i have done to you
If i cud've go back and change, but am fresh and blood baby i make mistakes
Oh najua nimekukosa, sasa hivi umenichoka
Mpenzi naomba unisamehe, sahau zote unirudie,
Nimejuta chochote nilivofanya,
Ntawezaje bila wewe, asali wa moyo wangu,
Naamini nilikuumiza rohonii,
Naamini pia ulilia machozi mengii
Oh najua nimekukosa,
Sasa hivi umenichokaa,,
Mpenzi naomba unisamehe,
Sahau zote unirudie,
Natamani wewe sitaki mwingine sitaki kuishi bila wewe,
Mimi na wewe turudi nyumbani tuishi pamoja milele
Wewe ni furaha yangu
Ukiniacha nitakufa baba
Niko chini kwa magoti.naomba nisamehe,
Unachotakaa,, oh nitakupa ah
Nitabadilika juu yako, sababu nakupendaa ahh
Najua nimekukosaa,
Sasa hivi umenichoka,
Mpenzi naomba unisamehe,
Sahau zote unirudie,
Natamani wewe, sitaki mwingine, sitaki kuishi bila wewe
Mimi na wewe rudi nyumbani tuishi pamoja milele
Na wewe
Natamani wewe
(I wanna be with you)
Mimi na wewe(yeah)
Natamani wewe, sitaki mwingine, sitaki kuishi bila wewe
Mimi na wewe rudi nyumbani tuishi pamoja milele



Writer(s): Cindy


Cindy - Hot Like That
Album Hot Like That
date of release
23-03-2015




Attention! Feel free to leave feedback.