Country Boy feat. Billnass - Hakuna Matata Lyrics

Lyrics Hakuna Matata - Country Boy , Billnass



Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata polepole yoo!
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata polepole
Hakuna matata
Hakuna matata polepole
Hakuna matata
Na hii ni kwa wanangu pande zote kila sehemu sehemu
Tunagongeana fegi hatugongeani mademuu
Hakuna matata nachana ile kidon wachawi wananiwinda na bado hawanioni wamefeli mbn shule boda kule kivukoni maana nipo high nawa zoom tu kwa droning kazaneni kubana tuu vyovyote vile sana tuu nachojua kuchana tuu we anza tuu tutakutana juuu ×2
Ahhhhhhh!!
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata polepole ohhh hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata polepole hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata polepole ohhh hakuna matata



Writer(s): William Nicholaus Lyimo, Salim Kassim Maengo, Country Boy


Country Boy feat. Billnass - Hakuna Matata
Album Hakuna Matata
date of release
29-11-2016



Attention! Feel free to leave feedback.