Country Wizzy - Bado (feat. Seyi Shay) Lyrics

Lyrics Bado (feat. Seyi Shay) - Country Wizzy



(Switch)
Yeah oohuu, yeah huu bhu bhuuu!
(Hammy)
Oh my gosh she is so fine
Simu yangu imejaa picha zake tu
I've been thinking all night
Na nataka kuwa naye, (ye-ye-ye)
Ila kwa lifestyle yangu simuwezi ila nataka kuwa naye, ye-ye-ye
Yeah! boy
But she don't know yeah, she don't know
Kwa jinsi navyo mpenda ye she don't know
Sijui atakubali me l don't know
Kwa jinsi navyo mpenda ye she don't know
Anapenda kwenda movie, mi bado
Beach, boats ana cruise, mi bado
Anaogea kwa jacuzzi, mi bado
Bado bado bado
Anapenda kwenda movie, mi bado
Beach, boats ana cruise, mi bado
Anaogea kwa jacuzzi, mi bado
Bado bado bado
Yelelee yeelee yeleeeee iiih
Sey Shayl
Bado, bado
Oh baby,No matter who you are,I'Il be there for you
Amini kwako sijiwezi
EverythingI will do for you
See I don't need your cars
Or your money or your house got my Own
I just want your love,Baby come give me some
If laying next to me (Laying next to me)
Baby you are the only one I need, (Your the one I need)
Moyo umezama kwako (Baby)
Nimeridhia shida zako (Baby)
Nitakupenda peke yako (Baby)
Nitapigana vita yako (Oooh ooouuu)
Anapenda kwenda movie, mi bado
Beach, boats ana cruise, mi bado
Anaogea kwa jacuzzi, mi badoo
Bado bado bado
Anapenda kwenda movie, mi bado
Beach, boats ana cruise, mi bado
Anaogea kwa jacuzzi, mi bado
Bado bado bado
(Anapenda kwenda movie mi, bado)
(Beach, boats ana cruise mi, bado)
(Anaogea kwa jacuzzi mi, bado)
Bado bado bado, (Bado bado bado)
Iyeiyeah
Hua heah heah he he, hua heah heah
Iyeiyeah
Hua heah heah he he, hua heah heah
Iyeiyeah
Hua heah heah he he, hua heah heah
Hua heah heah he he, hua heah heah
(Hammy)
Inserted by Gerald Kazetela



Writer(s): I.a. Mandingo


Country Wizzy - The Father
Album The Father
date of release
25-09-2020




Attention! Feel free to leave feedback.