Lyrics Sio Mbaya - Osman , Darassa
Uhuru
uhuru
we
Uhuru
weee
Uhuru
uhuru
we
eh
eh
eh
Fungua
macho
tazama
Ishi
maisha
yako
na
kuwa
free
Mfano
me
Uhuru
uhuru
we
Uhuru
weee
Uhuru
uhuru
we
eh
eh
eh
Anzisha
mziki
sasa
Eh
bwana
bhana
inakuaje
Sio
mbaya
Africa
ya
mashariki
Sio
mbaya
Salamu
za
mashabiki
Sio
mbaya
Ah
aaaaah!
Narusha
feeling
zangu
high
kama
kipepeo
Nataka
kuhave
fun
sio
mbaya
leo
Leo
ndio
leo
kama
mchezo
wa
video
Usikubali
ukapitwa
na
hili
toleo
Mana
nakunywa
nalewa
Naimba
nacheza
Na
icho
ulichopewa
Mungu
atakuongeaza
Maisha
ni
juu
na
chini
Kuishi
ni
kujiamini
Wakikwambia
wataka
kuwa
nani
Wambie
mimi
Waweza
kuwa
queen
Waweza
kuwa
king
Waweza
kuwa
juu
angani
ukiamini
Anayejali
hisia
zako
anakuthamini
Anayekupa
nafasi
anakuamini
Maisha
ya
mjini
Kula
ipo
akilini
Binadamu
hawafai
kaishi
porini
Eh
bwana
bhana
inakuaje
Sio
mbaya
Mipango
imekaaje
Sio
mbaya
Kujiburudisha
na
muziki
Sio
mbaya
Na
kisha
tunaridhika
Sio
mbaya
Hata
sisi
tunashida
Sio
mbaya
Changamoto
za
maisha
Sio
mbaya
Kunawatu
watakupinga
Sio
mbaya
Kwenye
faida
kuwa
mjinga
pia
Sio
mbaya
Napiga
simu
mama
class
Sema
sio
mbaya
Umeme
umekata
sijapasi
Sio
mbaya
Naingia
kwenye
mitikasi
Sio
mbaya
Hata
wazee
wa
kazi
Hawako
vibaya
Pata
unashukuru
Piga
makoti
Mwenzetu
akitoboa
Tunasema
hard
work
Ukikutana
na
mtoto
mzuri
Sema
nice
shot
Na
ukipenda
anavo
move
Piga
makofi
Mwindaji
haogopi
Mtafutaji
hachoki
Unaweza
ukafungwa
wewe
Young
Killa
msodoki
Maisha
kichwa
box
Drinks
moja
moja
na
washikaji
kuna
shots
Nani
alikwambia
masikini
hachoki
Eh
bwana
bhana
inakuaje
Sio
mbaya
Mipango
imekaaje
Sio
mbaya
Kujiburudisha
na
muziki
Sio
mbaya
Na
kisha
tunaridhika
Sio
mbaya
Hata
sisi
tunashida
Sio
mbaya
Changamoto
za
maisha
Sio
mbaya
Kunawatu
watakupinga
Sio
mbaya
Kwenye
faida
kuwa
mjinga
pia
Sio
mbaya
Anayeitika
unapomwita
Rafiki
wa
kweli
Anayekufaa
kwenye
shida
Rafiki
wa
kweli
Anayemulika
kwenye
giza
Rafiki
wa
kweli
Tunamapungufu
yetu
Bado
hatujafeli
Leo
tupo
wote
down
tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Ups
tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Down
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Ups
tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Tuna
celebrate
Yooh!
Sometimes
inabidi
tu
Uishi
maisha
yako
The
class
aaah.
Attention! Feel free to leave feedback.