Lyrics Juju - Jux , Darassa
Haha
sio
mapenzi
ni
juju
Sio
mapenzi
ni
juju
Haya
sio
mapenzi
ni
juju(Juju)
Angekuwa
wimbo
DJ
angeurudia
Kila
mmoja
angecheza
Utamani
kuimba
na
kuitikia
Kama
kinywaji
unaongeza
Rangi
yake
mavazi
na
shepu
Katikati
ya
mfupi
na
mrefu
Mi
nadhania
Mungu
aliangalia
akaumba
mwanamke
apendezeshe
dunia
Ukisikia,Sauti
ya
kukaa
kichwani
Unavutia,
malaika
wa
kupaa
angani
Amazing,
Mwanamke
wa
kumweka
ndani
Mwanamke
wa
kuspend
money
Ale
ale
ale
ale
Angekuwa
wimbo
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Na
kila
mmoja
angecheza
Ale
ale
ale
ale
Mr
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Ale
ale
ale
ale
Angekuwa
wimbo
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Na
kila
mmoja
angecheza
Ale
ale
ale
ale
Mr
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Pita
pita
kwenye
mitaa
yao
Pita
pita
kwenye
mitandao
Pozi
picha
na
mambo
kibao
Maisha
yao
tunasema
nao
Mwanamke
anafanya
unachange
Hakuna
binga
wa
kwenye
mapenzi
Kuna
wakati
najibia
Asione
kama
namwangalia
Ni
kama
kajumba
anavutia
Anapita
kwenye
njia(She
a
danger
girl)
Mada
nimezamia
Mi
mwenyewe
baharia
Ale
ale
ale
ale
Angekuwa
wimbo
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Na
kila
mmoja
angecheza
Ale
ale
ale
ale
Mr
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Ale
ale
ale
ale
Angekuwa
wimbo
Dj
angeurudia
Ale
ale
ale
ale
Na
kila
mmoja
angecheza
Ale
ale
ale
ale
Mr
Dj
angeurudia
Ale
Ale
ale
ale
Oya
eeh
yeah
eh
yeah
eh...
Eeh
hanimudu
nakunywa
sumu
Umenirudisha
shule
vidudu
Umenifunga
mdomo
ni
bubu
Nasema
sio
mapenzi
ni
juju,
juju
Bang!
Haya
sio
mapenzi
ni
juju
Sio
mapenzi
ni
juju
Haya
sio
mapenzi
ni
Juju
(Juju)
Attention! Feel free to leave feedback.