Darassa - Kumbe Lyrics

Lyrics Kumbe - Darassa




Natamani nikuonee natamani kifutaee
Sijui nitakufata vipi please baby
I don't know kama nilivyo
Nipende mimi msela moyoni
Usije niumiza naona raha
Natamani kuone sijui nitakuona vioi
Natamani nikufate sijui nikufate vipi





Attention! Feel free to leave feedback.