Lyrics Utanitoa Roho - Darassa
Ooh
mwana
mama
ooh
ooh
mwana
mama
ooh
Moyo
ukishaga
simama
kidedea
Utajikuta
unapiga
na
kujichezea
Mtu
ukipenda
you
don't
care
Hujui
unakokwenda
you
don't
scare
Unanifumbua
macho
kama
sio
dili
Na
bado
kukikucha
kwako
niko
willing
Kufanya
vitu
kama
sinaga
akili
Ni
sawa
mtu
ale
mi
nilipe
bill
Nacheka
nje
ndani
uko
fire
Mapenzi
ya
msala
yanaumizaga
vibaya
Pressure
inashuka
kupanda
Kuwaza
kuwanda
kwa
giza
na
mwanga
Macho
lakini
hayakuonyesha
Unacheka
na
vitu
havikuchekeshi
Nimesha
poteza
sina
confidence
Unasema
unapendwa
bila
evidence
Utantoa
roho
wee
utaniua
utantoa
roho
Utantoa
roho
(baby
mwana
mama
ooh)
wee
utaniua
Utantoa
roho
(baby
mwana
mama
ooh
baby
mwana
mama
ooh
Baby
mwana
mama
ooh)
Ah
refa
akishaita
mpira
kati
ndio
basi
Na
hakuna
cha
ku
discuss
Kuna
wakati
bora
kuisikiliza
nafsi
Maana
pesa
makaratasi
In
fact
samaki
hana
reverse
Maajabu
ya
dunia
ulionaga
wapi
Kinyonga
kakimbia
mbio
za
farasi
Maneno
yakashutigi
kama
risasi
Twanga
na
kupepeta
chekecha
Haisaidii
kama
vile
double
deka
Unajikuta
kulia
kucheka
Unacheza
tuu
ma
breka
mbuzi
kala
mkeka
Macho
lakini
hayakuonyesha
Unacheka
na
vitu
havikuchekeshi
Nimesha
poteza
sina
confidence
Unasema
unapendwa
bila
evidence
Macho
lakini
hayakuonyesha
Unacheka
na
vitu
havikuchekeshi
Nimesha
poteza
sina
confidence
Unasema
unapendwa
bila
evidence
Utantoa
roho
wee
utaniua
utantoa
roho
Utantoa
roho
(baby
mwana
mama
ooh)
wee
utaniua
Utantoa
roho
(baby
mwana
mama
ooh
baby
mwana
mama
ooh
Baby)
Attention! Feel free to leave feedback.