Lyrics Kamwambie - Diamond Platnumz
Nenda
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
Nasema
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
So
ningeamuru
nyota
na
mbalamwezi
Viwe
mali
yake
yeye
Natamani
ila
tatizo
siwezi
Huenda
ingefanya
anielewe
Ah
ona,
si
alinifunza
mapenzi
Nlikuwa
sijui
kamwambie
Akanidekeza
kishenzi
Kwa
nyimbo
nzuri
nimuimbie
So
asidanganywe
na
gari,
burudani
na
fedha
mimi
akanichukia
Akalishusha
thamani
penzi
nalompenda
kisa
mvinyo
na
bia
Asidanganywe
na
gari,
burudani
na
fedha
mimi
akanichukia
mmh
Mwambie
asisikie
mapenzi,
moyo
wangu
unaumia
Ee
yeah
Nenda
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
Nasema
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
Nasema
siku
hizi
wala
hakuna
fungate
Mapenzi
hayana
thamani
Hivyo
mwambie
wanaopenda
wachache
Wengi
wanatamani
Uuh
wanaanzaga
kwa
tafadhali,
wakishapewa
wanapotea
Nenda
mwambie
ajihadhari
na
dua
njema
namuombea
So
asidanganywe
na
gari,
burudani
na
fedha
mimi
akanichukia
Akalishusha
thamani
penzi
nalompenda
kisa
mvinyo
na
bia
Asidanganywe
na
gari,
burudani
na
fedha
mimi
akanichukia
mmh
Mwambie
asisikie
mapenzi,
moyo
wangu
unaumia
Ee
yeah
Kamwambie,
kamwambie
Kamwambie,
kamwambie
Kamwambie,
kamwambie
Kamwambie,
kamwambie
Nenda
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
Nasema
kamwambie,
aa
haa
jinsi
navyompenda
mi
aa
haa
Na
kama
mapenzi
bado,
aa
haa,
mwambie
ntayaongeza
mi
Attention! Feel free to leave feedback.