Diamond Platnumz - Kizai Zai Lyrics

Lyrics Kizai Zai - Diamond Platnumz



Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndo uponi eeh
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndo uponi eeh
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikiskia omba ya sikupate
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya menzako sikia, ila yasikupate ehhh
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai)
Yanaumiza
(Kizaizai)
Ooh kizunguzungu
(Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu
(Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya
(Kizaizai)
Kazi ukaona chigu
(Kiziazai)
Nyie mapenzi karaha
Ehhh sumere waa ehee
Grante grante mmmh
Yanayima furaha mmh
Yanakosasha raha ehh
Yanayima furaha mmh
Yanakosasha raha mmmh
Tena usiombe kupenda ulie mpenda ajue
Tena usiomba kupenda ulie mpenda ajue
Amani utakosa, karaha jamani eeeh
Dunia chungu kufa utatamani eeeh
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikiskia omba yasikupate
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake ehhh
Ya mwenzako sikia, ila yasikupate
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai)
Yanaumiza
(Kizaizai)
Ooh kizunguzungu
(Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu
(Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya
(Kizaizai)
Kazi ukaona chugu
(Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha
(Kizaizai)
Baba na mama watake
(Kizaizai)
Chakula tamu ni sumu
(Kizaizai)
Mashoga sasa wanafiki
(Kizaizai)
Kulala nanyi ni ngumu
(Kizaizai)
Eii yanauma
(Kizaizai)
Tena yanauma sanaa
(Kizaizai)
Yanauma
(Kizaizai)
Ooh yanauma sanaa
Ayoo hahaa
(Kizaizai)
And this is me from Tanzania
(Kizaizai)
Diamond Platnumz baby
(Kizaizai)
In See Records
(Kizaizai)
Its Italy baby
(Kizaizai)
Hollaa
(Kizaizai)
See me
(Kizaizai)
Suka suka suka suka suka suka suka suka
Suka suka suka suka suka suka suka suka
(Kizaizai)
Ahaa suka ajaa
(Kizaizai)
Kata aga eeh
(Kizaizai)
Kupu hoaa hoaa hoaa hoaa hoaa wee
(Kizaizai)
Thank you




Diamond Platnumz - Kizai Zai - Single
Album Kizai Zai - Single
date of release
15-01-2012





Attention! Feel free to leave feedback.