Lyrics Mapenzi Basi - Diamond Platnumz
Yalinifanya
nikaugua
Mara
napanga
napangua
Mwili
ukakonda
nikapungua
Oh
sikulala,
sikulala
Oh
maradhi
nikaugua
oh
Yakanichoma
na
kuungua
roho
Kutwa
nawaza
na
kuwazua
Sikulala,
sikulala
Hayo
mapenzi
bwana
Hayana
maana
Yalinifanya
mi
nichekwe
Sababu
yake
nishagombana
Nikatukanwa
Lakini
akanipiga
teke,
ai
Haya
mapenzi
bwana
Hayana
maana
Yalinifanya
mi
nichekwe
Sababu
yake
nikagombana
Usiku
mchana
Yeye
Mi
mwenzenu
tena
basi
Oh
mapenzi
sitaki
Oh
mwenzenu
tena
basi
Basi,
basi
sitaki
(mara
2)
Oh
nilishagombana
na
mama
mzazi
Akataka
nimwagia
radhi
Sababu
yule
fulani
Wa
moyo
wangu
Yakaleta
zengwe
kwa
kazi
Ugomvi
wa
simba
na
panzi
Vurugu
kwa
majirani
Ai
eh
Mola
wangu
Attention! Feel free to leave feedback.