Lyrics Mdogomdogo - Diamond Platnumz
Nimetembea
tembea
Bara
na
visiwani…
ila
nikajionea
we
ndio
my
Number
one.
Natamani
nikupe
ila
sina
nimejaliwa
upendo
heshima.
Maneno
yao
matamu
yasikuibe
mama….
si
unajua
binadamu
wabaya
sana…
Wanawivu
hao,
wachonganishi
hao
(×2)
usije
niacha
kwa
unyonge
nachechemea…
Utamu
wa
finyango
na
tonge
ukanielemea…
Usije
niacha
kwa
Unyonge
nachechemea…
Utamu
wa
finyango
na
tonge
ukala
kwangu…
{Chorous}
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Asije
kitorondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Akanikatia
na
Uhondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Kitorondo
kitorondo
eeh)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Ikinasa
mpaka
uondoe)
Mwendaazimu
kaingiaje
(Oooh
Kitorondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Ikawa
nyumba
ya
shetani)
Mwendaazimu
kaingiaje!
Kidogo
nikileta
Mumypti
usinune.
Nikumbatie
unikiss
nijivune.
Kesho
nizidishe
ufanisi
nijitumee.
Tujenge
hadi
nyumba
Paris
Wanunee….
Vimichezomichezo
vya
Saloon
chunga
wakipanga…
Wasije
kukufunza
vya
uhuni
ukawa
unadanga…
Ukaanza
safari
Mchana
jua
kali,
usiku
haulali
ayaah!
(×2)
Wanawivu
hao,
wachonganishi
hao
(×2)
Ukaanza
safari,
Mchana
juakali,
Usiku
haulali
Aah
yaya.!
{Chorous}
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Asije
kitorondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Akanikatia
na
Uhondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Kitorondo
kitorondo
eeh)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Ikinasa
mpaka
uondoe)
Mwendaazimu
kaingiaje
(Oooh
Kitorondo)
Mwendaazimu
kaingiaje!
(Ikawa
nyumba
ya
shetani)
Mwendaazimu
kaingiaje!
Mdogomdogo
Mdogomdogo
(Usijali
mama)
Mdogomdogo
(We
wacha
waongee)
Mdogomdogo
(Usiku
na
mchana)
Mdogomdogo
(Mpaka
wanyongee)
Mdogomdogo
(Na
ntakupenda
sana)
Mdogomdogo
(Mahaba
ninyongee)
Mdogomdogo
(sijali
lawama)
Mdogomdogo
(acha
wanizonge)
Mdogomdogo
(kachirikachiri)
Mdogomdogo
(kachiri
we
ngao
yangu)
Mdogomdogo
(mwenzako
taabani)
Mdogomdogo
(nilindie
roho
yangu)
Mdogomdogo
(wasije
wa
furani)
Mdogomdogo
(wakaiba
tamu
yangu)
{Ending
Chrous}
Mwendaazim
kaingiaje
Mwendaazim
kaingiaje
Mwendaazim
kaingiaje
Mwendaazim
kaingiaje
Mwendaazim
kaingiaje
(mdogomdogo)
Mwendaazim
kaingiaje
(mdogomdogo)
Mwendaazim
kaingiaje
(mdogomdogo)
Mwendaazim
kaingiaje
(mdogomdogo)
Attention! Feel free to leave feedback.