Lyrics Ukimuona - Diamond Platnumz
Oh
ghafla
visenti
sina
nimerudi
tandale
nimeshindwa
kulipa
bima,
nimeuza
madale
redio
nyimbo
wamezima
tv
ndio
hatare
umeneja
umebaki
jina,
hanitaki
ata
tale
oh
shabiki
zangu
walionisifu
kwa
maneno
matamu
leo
maadui
zangu,
ni
mitusi
tu
kwa
instagramu
eeh
kimwana
si
dadangu,
ati
naye
hanifahamu
ata
harmonize
nikimpigia,
ananifokea
kama
salaamu
na
magazeti
nyumbani
kwa
kukuza
habari
si
unajuaga
utasikia
tafarani
ati
mondi
kwa
zari
amemwagwa
na
venye
nilivyo
mnyonge
tabia
ya
kuwajibu
sinaga
kama
naiona
michambo
ya
madem
wa
zamani,
niliowapitiaga
ooh
ninayosema
yana
maana
sababu
hakuna
anayejua
kesho
anayepanga
ni
rabana
ila
ameficha
ni
confidential
ukisali
omba
sana
mumeo
nisije
kuwa
kichekesho
maana
rafiki
wa
jana
ndio
adui
mkubwa
kesho
()
La
x7
Oh
Je
utanipendaga
La
la
la
la
la
la
la
Au
nawe
utanimwaga
La
la
la
la
la
la
la
Ati
utanipendaga
Ooh
bado
nawaza
sana
zile
tuzo
mashauzi
airport
Je
ntapofika
tama
utadiriki
ata
japo
kunipost
pindi
show
zimekwama
na
nikipata
sijazi
ni
mikosi
oh
jahazi
limezama
mola
ninusuru
baba
kama
namwona
mwanangu
roho
yangu
tiffah
dangote,
anakwenda
na
mamangu
kwa
jakaya
kikwete
anafukuzwa
atoke
husilie
sandrawangu,
mboni
yangu
jikaze
husichoke,
uenda
kesho
zamu
yangu
nitavuma
tena
mambo
yanyooke
na
magazeti
nyumbani
kwa
kukuza
habari
si
unajuaga
utasikia
tafarani
ati
mondi
kwa
zari
amwagwa
na
venye
nilivyo
mnyonge
tabia
ya
kuwajibu
sinaga
kama
naiona
michambo
madem
wa
zamani,
anikerage
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
la
kama
namwona
mwanangu
roho
yangu
tiffah
dangote,
anakwenda
na
mamangu
kwa
mkubwa
fella
anafukuzwa
atoke
husilie
sandra
wangu,
mboni
yangu
jikaze
husichoke,
uenda
kesho
zamu
yangu
nitavuma
tena
mambo
yanyooke
ooh
ninayosema
yana
maana
sababu
hakuna
anayejua
kesho
anyepanga
ni
rabana
ila
ameficha
ni
confidential
ukisali
omba
sana
mumeo
nisije
kuwa
kichekesho
maana
rafiki
wa
jana
ndio
adui
mkubwa
kesho
By
sprungr!
Attention! Feel free to leave feedback.