Dogo Janja - Banana Lyrics

Lyrics Banana - Dogo Janja



It′s time for Manzese music
Kimamba on the beat
Unajua mamy siko sawa
Wananiona mi chawa
Mama acha maseke mandi ndi ndi
Nigger siwezi keep pretend ndi
Usiwasikilize mapimbi mbi
Mama acha kuchomeshaga maindi ndi
Nipe vitu nipe vitu konki
Nisha jizatiti kujikoki
Mama acha maseke ma ndi ndi ndi
Nigger siwezi keep pretend ndi
Usiwasikilize mapimbi mbi
Mama acha kuchomeshaga maindi ndi
You are so beautiful
You are my banana
Nisipo kutiaga machoni
Moyoni huwa kunawaka moto
You are my banana
My banana
You are so beautiful
You are my banana nana
Huwa kunawaka moto
Yooh mr buddah buddah
Come babe girl
Life guda guda
Wala usijali wakuda kuda
Kaa nao mbali
Wakivuruga wanakimbilia mbali
Wanachosubiri kutupiga deo
Wanatamani tugombane kila leo
Mama acha maseke ma ndi ndi ndi
Nigger siwezi keep pretend ndi
Usiwasikilize mapimbi mbi
Mama acha kuchomeshaga maindi ndi ndi
You are so beautiful
You are my banana
Nisipo kutiaga machoni
Moyoni huwa kunawaka moto
You are my banana
My banana
Huwa kunawaka moto
You are so beautiful
You are my banana
Nisipo kutiaga machoni
Moyoni huwa kunawaka moto
You are my banana
My banana
Huwa kunawaka moto
Mama acha maseke mandi ndi ndi ndi
Kunawaka moto
Usiwasikilize mapimbi mbi
You are so beautiful
You are my banana




Dogo Janja - Banana
Album Banana
date of release
02-07-2018

1 Banana




Attention! Feel free to leave feedback.