Elani - Jinsi Lyrics

Lyrics Jinsi - Elani



Naomba usiniumize mama
Moyo wangu ni mwepesi sana
Naomba usiniumize mama
Njia ya kupenda tena nitakosa
Na nikuchukue nikutunze
Unachotaka mama nami nikupatie Na
Nikuchukue nikutunze Unachotaka mama nami Nikupatie
Nikiwa nawe wanichekesha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendavyo
Jinsi nikupendavyo
Nikiwa nawe wanichekesha
Ni mimi na Mola tunajua
Jinsi nikupendavyo
Jinsi nikupendavyo ohh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo ohh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo oh
Unaponuna waniumiza roho Nisipokuona kila siku naumia moyo ooh
Mimi kwako
Sijiwezi
Sijielewi sioni
Nakupenda jamani aah
Jamani
Kwako
Sijiwezi
Sijielewi sioni
Nakupenda jamani
Eeeeh
Na nikuchukue
Nikutunze
Unachotaka mama nami nikupatie
Nikiwa nawe wanichekesha
Mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendavyo
Jinsi nikupendavyo
Nikiwa nawe wanichekesha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendavyo
Jinsi nikupendavyo ohh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo ohh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo ohh
Usiniumize mama
Moyo wangu ni mwepesi sana Mimi kwako sijiwezi
Nakupenda jamani eeh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo ohh
Nikupende
Nipende nikupende eeh
Nipende nikupende
Jinsi nikupendavyo



Writer(s): Brak, Elani


Elani - Barua ya Dunia
Album Barua ya Dunia
date of release
01-01-2013




Attention! Feel free to leave feedback.