Lyrics Fid Q - Propaganda - Fid Q
Nilipom-miss
hakutokea
Ili
kunigea
kiss
au
kuni-hug
Hakuni-care,
au
binti
aliendelea
kunimwaga
Sijawahi
penda
kama
hivi
lakini
mapenzi
yakani-ditch
Nili-survive
vipi,
sikumuita
first
love
bishi
Nahisi
nilipata
vibe
ya
kuipa
truth
a
facelift
Haupati
love
bila
michuzi,
huna
cashfit
Nkakesha
ndani
ya
booth
′Huyu
Na
Yule'
ika-first
hit
Show
kila
mkoa
haikosi
kukupa
guest-list
Life
ikawa
poa
lakini
u-player
siwezi
fit
Sikufichi
inaboa
ile
mbaya
kuvaa
jezi
nyingi
Plus,
hawara
anapasha
kitanda
moto
Na
haifanyi
upweke
ukaniacha
kiasi
cha
kumganda
huyo
mtoto
Na
kuimba
′Mahaba
Niue'
uli-smile
on
my
face
Haijalishi
kama
ana
uzuri
wa
kum-turn
hadi
gay
straight
Mapenzi
ni
kama
ligi
ya
mbuzi
striker
anaeza
potea
Wengi
wana-cheat
na
kuwaudhi,
wachache
wanao-play
fair
Mapenzi
ni
matamu
nahofia
kuumizwa
moyo
Nashindwa
kujaribu,
roho
inaniuma
sana
Roho
inaniuma
eh,
roho
inaniuma
iye
Roho
inaniuma,
roho
inaniuma,
roho
inaniuma
iye
Nahofia
kuumizwa
moyo
oho
Bila
hata
kupewa
pole
eh
Dudu
lio
mala,
kwanini
nilipe
kidole
Oh
moyo,
roho
inaniuma
mie
Ndie
hustle,
ni
wazi
penzi
lako
ni
safi
Na
uniacha
happy
kila
wakati,
kubaki
nawe
ni
kismati
maybe
Kipi
sipati?
Na-hit
kwa
chart
Waloita
street
mziki
haunlipi
wako
wapi?
Waniache
nkate
nipate
bei
Money
makes
a
man,
lakini
love
ni
hustle
You
know
who
you
love,
but
you
don't
know
who
loves
you
Wakunifanya
niwe
Baraka
ka
Michelle
Tabasamu
zaidi
ya
wafungua
mlango
wa
5 star
hotel
Dawa
sio
chungu,
ndugu,
chungu
maradhi
Haki
ya
Mungu
tena
chuki
humchoma
anaeihifadhi
Kusahau
siwezi
sawa
na
kumkumbuka
nsiyemjua
Mapenzi
yalifanya
nkaumbuka,
nnachoshukuru
hayakuniua
Mapenzi
ni
matamu
nahofia
kuumizwa
moyo
Nashindwa
kujaribu,
roho
inaniuma
sana
Roho
inaniuma
eh,
roho
inaniuma
iye
Roho
inaniuma,
roho
inaniuma,
roho
inaniuma
iye

1 Fid Q Ft J Bryant - Danger
2 Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka
3 Fid Q Ft Ncha Kalih & AY - Shimo Limetema
4 Fid Q - I Am Professional
5 Fid Q Ft Zahiri Zorro - Ripoti Za Mtaani
6 Fid Q - Mwanamalundi
7 Fid Q - Propaganda
8 Fid Q - Temanoleji
9 Fid Q Ft Bi Kidude - Juhudi Za Wasiojiweza
10 Fid Q Ft Bizzman - Mama
11 Fid Q Ft Doreen - Nyota Ya Mchezo
12 Fid Q Ft Hard Mad - Ninapotoka
13 Fid Q Ft Juma Nature - Utaua Game
14 Fid Q Ft Nylon - Wananiita King
15 Fid Q Ft Qj - Kila Siku
16 Fid Q Ft Mzungu Kichaa - Hey Lord
17 Fid Q - Propaganda New Version - Bonus Track
Attention! Feel free to leave feedback.