Fid Q - Ulimi Mbili Lyrics

Lyrics Ulimi Mbili - Fid Q



Hawamaanishi wanacho sema (lakini), huongea ya maana,
Madishi ninayo tema yakipotea ujue unalaana,
Wana drama ukikwama lawama bwana akikukana inauma sana,
Unanichanganya kutamaniana ujana na maana ya kupendana,
(Mapenzi)Sio mashindano flani na flani wakomo ubishi,
Ni makubaliano ndani ya ki-moyo honey umridhishe,
Kuyaanza ni vigumu, kutengana ni rahisi, kuyafanya ya dumu,
Inapaswa wakaanga sumu wote wa-tight,
Unamuita Queen na unapassion ya kumuona,
Simu yake ina pin na ma-password kila kona,
Na majina kama kadabra, kumbe ni Ibra yani Roma,
Na aliemsave kama baba, Ndio ulie jiba nae kinoma,
Ukienda kasi utaona life iko fast,
Kiasi Kwamba ata your first lover awezi kuwa your last,
Unamuona mrupo kisa ulimgonga kwa mshiko,
Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu,
Unamuita darling au wife mama mamito,
Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho,
Unaemtaka haumpati utampata wapi,
Anaekutaka hautaki haumpi nafasi,
Akikuteka ukijiweka haukohoi,
Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy,
Weka yeye atoe, asie enzi na usimboe,
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,
Haaaaa...
Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,
Haaaaa...
Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,
Haaaaa...(Wouwo)
Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,
Haaaaa...
Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,
Hawa maanishi wanachosema,
Lakini huongea ya maana,
Hawa maanishi wanachosema,
Lakini huongea ya maana,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Mapenzi ya Kweli ni kama jini,
Wachache ndio wameona mwache alie kuona unanini,
Sio maujanja kama wanadada vyuoni,
Wasomi wa mchana wanaofanya uchangudoa jioni,
Kisha wana act kama virgin in the morning,
Ili picha uipate ficha flash wasiione,
Wengi hawa graduate na A,
Wana graduate na eight(8),
Wenye graduate utawajuaje kwao hawahitaji comfess,
Ilimradi wa-sex na washkaji wasio chek,
Waki test blood wanawapa stress,
Uponaji ni hadi aki-bless god,
Ulemchekesho unamliza na anajuta umemfilisi,
Zaidi ya gear riverse imalizayo mafuta,
Wazamani siwezi mwacha na mpya nilie mpata huku kwetu,
Mjanja hawez ingia dukani kununua viatu akiwa peku,
Lyrics prepared by skiizat.com
Kila msichana anataka bwana mwenye demu(ah),
Inaonekana ansaka bwana mwenye demu,
Mnaachana unachoma picha unachange number za phone,
Inakuumiza kichwa mapenzi yako moyoni,
Muda unapita na mwezi hadi ndotoni,
Unagundua yule mshenzi hakupendi lakini haumkomi,
Akikuteka ukijiweka haukohoi,
Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy,
Weka yeye atoe, asie enzi na usimboe,
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,
Haaaaa...
Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,
Haaaaa...
Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,
Haaaaa...(Wouwo)
Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,
Haaaaa...
Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,
Hawa maanishi wanachosema,
Lakini huongea ya maana,
Hawa maanishi wanachosema,
Lakini huongea ya maana,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Wanaongea...
Wanaongea...
Ulimi mbili, Ulimi mbili,
Ulimi mbili.




Fid Q - Ulimi Mbili
Album Ulimi Mbili
date of release
13-08-2017




Attention! Feel free to leave feedback.