Frank - Nyosha Mkono Wako Lyrics

Lyrics Nyosha Mkono Wako - Frank



Nyosha mkono wako
Wa rehema
Niguseeee
Nipone
Nyosha mkono wako
Wa rehema
Niguseeee!
Niiponeee!
(Rudia...)
Maadui zangu wananidhihakii
Wanauliza Mungu wako yuko wapi
Inuka ndani yangu ujitukuze
Niguuuuseeee eeeh baba niiponee
Ooooh...
(RUDIA. KIITIKIO...)
Kwa kupigwa kwako Yesu mimi nimepona
Ahadizako niza kweli na mileee
Ulituma neno lako mimi niiponeee
Niguse baba niponeee
(RUDIA. KIITIKIO...)
(RUDIA. KIITIKIO...)




Frank - Mkuu
Album Mkuu
date of release
12-01-2015




Attention! Feel free to leave feedback.