FreshBoys - Ile Ile Lyrics

Lyrics Ile Ile - FreshBoys



Haha
Toogood
Wanauliza hii ndo ile ile ama wangoje tu nyingine
Bado niko sick au wangoje nikapime
Bado six feet deep ama vina ni vingine?
Bado kwenye industry ni mashine
I've been going hard cause it's hard going easy hunh
Looking at me now shout out to my nigga Geezy hunh
Been a unh
Look
Ningeanza kuwachania kizungu
Ila nitatesa waongo waongo na wambea
Nikishusha haya madongo kwa kimombo watapotea
Walitukuta chini siku hizi tupo daily kwenye Air
Kwa redio,kwa Tv, Kwenye Jordans, kwa mimea
WE THE BEST out here cuz
Mlikimbiaga shule alafu siku hizi mnataka debate
Who's the best toka East mpaka West
Labda South wakitest 100k for the verse
Cause I do it for the cash Bei ya offer
Nikinyonga suti nipate Loafers
Najua nilivyo classic kimichano,muonekano
Kwenye verses za mikanyo Ikitokea
Mmeniletea Rappers wenu ambao kwa game
Hawavumi lakini wamo
Nilipofika Kaka
Sihitaji ID's ama CV details kwenye Bio Check my IG
Nilianza kwenda viral wakaanza kuomba niende Combo
Cause nagawa dozi kama yule Babu wa Loliondo
Whats up!
Siku hizi tuko Viral unh All over the place
Killing all these rappers man who the fuck is next
Disgraced,They ask me who is the Best?
Matter of time though money is time
We on the next level and a nigga can relate unh
Utawasikia its been a while hunh
Mkituona mnakunja that's the Fact son
Mkituona mnavunga
Ukinizingua nakuzingua straight
Hatua mbili tu washaanza ku hate
Now the Game is mine tumeshaanza ku date
Fuck the fame we need some dough nigga
Fuck the game we need to go
Sitaki upuuzi nishakua Bro
Nakinukisha choo nilipotoka jua ni soo
Mtaani tumehitimu bila hata kuvaa joho hunh
Aiming too high Do I
Sky as the limit and I'm too fly kama nna mbawa
Embu chill mwanaume wa dar una dimple
Tukifanya sisi ndo mnachukulia simple
Cosovo nikaifanya my own village
Si ndo halisi kabisa we been the realest nahakikisha
Ka Ukinivutia kubwa nakuadabisha
Sio kua nawatisha sema ndo vile mikazo ileile
Mchizi kabisa nikadhani nitatoa maisha
Udeze akatisha Mudy Garage ndo vile vile
40 hazikufika ila alikufa siku ile ile
Mnyonge mnyongeni mkimuacha hai mpenii
Ukija na panga Cosovo utakua Bwege Mtozeni
Ka kuna mwengine anayejiamini nyie mchuzeni
Aanhaanh!I gotta move maskani sema nazuga
See the reason is my daughter is very healthy
Na jinsi miezi inakata and the sound is very deadly
Sema mchawi sjajipata sijashika masilesile
Ouuaanh aanh
Nmeshikwa na uchungu sema mchizi siwezi zaa
IAM music inajua we the realest
Iam Nyuzii itikelii zile zilee oya eehh
GEEZUS
Whouff yeah
Hii ndo ile gusa unate inapenya bila tomaso bila mate
Hii ndo ile ukiipa sikio tu lazima huu msafara ufwate
Hii ndo ile moja kwenye chache
Mashimo ni uhakika huku kila pini mwake babake
Navyotoboa usihamaki we zingatia Itifaki
Naukiongelea kuhusu Swaggs,Bars and Flows I got it
Talk about pesa,I want it
Yes i'm the S.H.I.T sipotei hata uchambe
Mastanza overwheight ka' viroba
Kwa mawaki ni haramu kama mvinyo wa viroba
Kaba koo kama Roba,Zimepangwa kwenye oda
Zimepikika weka order, kama mimi niko mmoja
458 kilomita usiniulize kuhusu mbio
Hesabu hatua nilizopiga toka Dom mpaka Dar



Writer(s): Anthony Beatus Chilemba, David Severin Madembwe, Granton John Mwaipopo, Moumini Omary Khama


FreshBoys - Ile Ile
Album Ile Ile
date of release
11-12-2024




Attention! Feel free to leave feedback.