GNako - Edda (feat. Aslay & Rich Mavoko) Lyrics

Lyrics Edda (feat. Aslay & Rich Mavoko) - GNako



S2kizzy beiby
Maumivu ya mapenzi we nipe discount
Umegeuka kidume wewe in this house
Bonyeza kitufe mama ni log out
Moyo umeupa konde ni big punch
Usije kushangaa nimefunga kitanzi
Ua
Ninavyokujali kurudi nyumbani haifikagi
Hata saa sita
Tena nilivyo boya nikipata vipesa huaga Nakukumbuka
Hivi ni wewe kweli niliyekuita asali
Yaani ni wewe kweli unafanya nikafeli
Edda edda... Unanieka hedda mtoto wa kiume
Edda edda. Ooh nazidi kukonda naukosa unene
Edda edda... Unanieka hedda mtoto wa kiume
Edda edda... Mmh utanitoa roho
Mwili umekongoroka, umebaki mifupa
Mi mwanaume wa shoka, unanivuta ka buta
Usinipeleke mbio, kisa penzi halina salio
Kila kitu niseme ndio, utaniumiza
Aisha tena
Penzi linachenga chenga geuza antenna
Umenipa mzigo mzito kama container
Umelifunga penzi sina opener
Mwenzako siwezi
Edda edda... aah unaniweka hedda
Mtoto wa mwenzio
Edda edda... aah unaniweka hedda
Mtoto wa kiume
Edda edda... aah unaniweka hedda
Mtoto wa mwenzio
Edda edda... aah unaniweka hedda
Mtoto wa kiume
Huna huruma hata kidogo
Umeumbiwa ubaya Mama una nongwa iyo
Najikaza jikaza yaani kamba shingoni
Penzi kwako hakunaga hilo
Faster tena presha ilishuka kupanda
Leo tena shida ni Mbuni wa mapesa
We sema mbona ushanichukua mateka Mapema
Maumivu ya mapenzi we nipe discount
Umegeuka kidume wewe in this house
Bonyeza kitufe mama ni log out
Moyo umeupa konde ni big punch
Usije kushangaa nimefunga kitanzi
Edda edda... Edda ma edda ma edda mamaa
Edda edda... fanya mapenzi
Yananichanganya
Eeeh eeda ooh. Edda edda
Edda edda
Edda edda
Edda edda
Edda edda
(The mix killer)



Writer(s): George Mdemu


GNako - Edda
Album Edda
date of release
02-01-2019




Attention! Feel free to leave feedback.