GNako - Gusanisha (feat. Maua Sama) Lyrics

Lyrics Gusanisha (feat. Maua Sama) - GNako



Enheee! Leo hii makodi kitu fireee!
Weeee.! Heee (Makodi makodi.Killin' dem, killin' dem)
Tweende gusaaa...
Gusaaa...
Eeeh gusaaa...
Gusaaa... (Take five now!. Take five now!)
Gusanisha...
Gusanisha...
Hasi na chanya. eeeh!
Gusanisha, panya na paka... eeeh!
Gusanisha, nyama kwa nyama... eeeh!
Gusanishaa... Mama wee!
Mabaharia toka Buza tulifika
Waweke fensi tunarukaga ukuta
Kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaaaah!.
Mifupa
Cha mtu mavi wanashikaga ukuta... eeeh!
Bia tatu ila baadae utajuta... eeeh!
Kama ulipinga basi leo tunafutaaaaaaah!
Eeeh tulifuta
Watu wanaruka majoka hukooo! (Mama)
Viuno vimefungwa mota hivyooo! (Haya)
Si kuchafuana boxer hukooo!
Mjomba katangaza ndoa huko
Ayee, ayee, mama ayee
Ayee, ayee, gusa ayee
Hapo gusa unase, gusa unase
Twende gusa unase, gusa unase
Gusanisha...
Hasi na chanya. eeeh!
Gusanisha, panya na paka... eeeh!
Gusanisha, nyama kwa nyama... eeeh!
Gusanishaa... Mama wee!
Oooh! My ukikanyagia
Hatari ya moto inauuunguza eh!
Kucha simamia
Mgambo wangu rungu suuza
Nigande nigande kama ruuuba
Nipe mahaba na huuuba
Wasema umetoka Buuuza
Bemba bembea buruuuza
Mambo iyente yente, teke teke
Ongeza makeke kwa mahali pake
Chombeza nywele, kitunde gede gede
Chumbani karate mixer mateke
Usije ukanisusa
Napenda ukinigusa
Safari nafika
Hasa ukinikoleza, ayee
Gusanisha...
Hasi na chanya. eeeh!
Gusanisha, panya na paka... eeeh!
Gusanisha, nyama kwa nyama... eeeh!
Gusanishaa... Mama wee!
Gusanisha, gusanisha
Gusanisha...
Hasi na chanya. eeeh!
Gusanisha, panya na paka... eeeh!
Gusanisha, nyama kwa nyama... eeeh!
Gusanishaa... Mama wee!
(Makodi makodi.Killin' dem, killin' dem)



Writer(s): George Sixtus Mdemu


GNako - Gusanisha
Album Gusanisha
date of release
01-01-2020




Attention! Feel free to leave feedback.