GNako - Kitonga (feat. Niki Wa Pili & Motrathefuture) Lyrics

Lyrics Kitonga (feat. Niki Wa Pili & Motrathefuture) - GNako



Kama leo tupo club tunaparty
Yes, tukirudi ghetto ni kiporo cha ugali
Ahhh... ah ah ah, ahh... ah ah ah
Ahhh... ah ah ah, ahh... ah ah ah
Utachagua furaha moyoni
Au iPhone X ama machozi hauoni
Mmmmh, na haya si matusi nguoni
Utakubali hii njia au utakashike ugoni
Unatoa mtoto naye anatoa
Inakua mchezo wa kutoa (itaboa)
Una dem kumbe naye ana dem
Anapewaga game (kukutoa hapo)
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kito)
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kitonga)
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Yeah huh, nunua simu sisi tutampigia
Pangisha nyumba baba tuje fikia
Inua mashuka wana tuje chafua
Panda mpunga baba si tutavuna
Haiba, tunataka kitu nzuri
Na kama pesa zipo upigwe kitunguri
Hauwezi kula peke yako kitu nzuri
Kitu nzuri, kitu nzuri
Ninaanza na kuhonga, naishia na kujinyonga
Wazee wa Kitonga, mpango ni kugonga
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kito)
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kitonga)
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Mi napenda msele msele (msele)
Mi napenda mtere mteremko mmh
Bure bure sio mchele mchele (mchele)
Mzee wa pasi ndefu mbele mbele huko
Na ukitaka massage we mwenyewe sauna
Kimaujigo si unajua nauma (nauma)
Kitonga dau huku kitaa inauma
Inauma, inauma
Ahhh... ah ah ah, ahhh... ah ah ah
Unaunga unga unaunda unda, watu
Wanavunjwa vunjwa
Ahhh... ah ah ah, ahhh... ah ah ah
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kito)
Mama mi sipendi panda milima (kito)
Mama mi napenda shuka milima (kitonga)
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga
Ki- ki- ki- ki- ki Kitonga



Writer(s): George Mdemu


GNako - Kitonga
Album Kitonga
date of release
02-01-2019




Attention! Feel free to leave feedback.