Gloria Muliro - Nakuhataji Lyrics

Lyrics Nakuhataji - Gloria Muliro



Nainuwa macho kwa mungu msaada wangu Ni kwako
Wewe Ni ngao ya maisha yangu
Kimbilio langu pekee
Niniakuomba misaidie nilinde uniponye
Nakuhitaji bwana nakutamani bwana
Ninajitowa kwako nitumie jinsi upendavyo
Mmmmmmh oooooh ooh ohh
(Ombi la moyo wangu baba nitumie upendavyo)
Eeh baba niniakuomba unijaze uwezo wako
Roho was mungu uwe nami
Upako wako ushuke kwangu
Uniongoze kwa kazi yako
Mataifa yakujuwe




Gloria Muliro - Sitolia
Album Sitolia
date of release
24-03-2014




Attention! Feel free to leave feedback.