Gosby - Noma Lyrics

Lyrics Noma - Gosby



Ebu/Ebu Chill na mi/Achana na Plan A situko na Plan Z/
Mandugu Digital na sikuambii/
Coach like Dunga wad up Ambii/
All these rappers man they sound like me/
Yeah they tryna be like me/
Usilete sifa zako si hatufagii eti that car yani kama ya Dadii/
Na Iphone 6 nimepewa na Dadii aliniletea alivyorudi toka Dubai/
Na hizo mbwembwe zako si hatuzimii so usilete shobo mtoto mdogo/
Wanangu hawana kitu yani unga robo huh so don't play that move/
Pembeni nimechill na bee Cindy Rulz hatuna wasi tunaagiza tu boose/
Huh unaona noma, niambie basi pale ambapo leo kumeshona huh/
Huh mbona unasonya, machizi hawanywi bia wanangu wanapiga konyagi/ X 2
Yeah/ Mi na shine like Mido ukiniona Elements mi na shine like Mido/
High than a kite utadhani nimepiga needle white girl yale mambo ya needle/
Gosby Brigante yeah they call me Carlito/ Gugosquavez yeah they call Carlito/
Watoto wakishua tushawakimbiza, Bang mbaya Omary Kimbisa/
Ball so hard nigga K. Twisa/
We paramia mizigo kesho tunakuzika leta Hennessy kama Ciroc imekwisha/
Coz I got like 20thou with me USD sio madafu baby/Usilete drama Bongo kuna TMZ/
Shout out to Ramaman my nigga bought B.E.N.Z/
Tukienda Chang'ombe yani mambo mapenzi/
Huh unaona noma, niambie basi pale ambapo leo kumeshona huh/
Huh mbona unasonya, machizi hawanywi bia wanangu wanapiga konyagi/ X 2




Gosby - Noma
Album Noma
date of release
10-03-2015

1 Noma




Attention! Feel free to leave feedback.