H. Paul - Clement Lyrics

Lyrics Clement - H. Paul



Difficult but not impossible
Unawasiwasi hofu na mashaka
Unahisi moyoni kama Mungu kakuacha mana unaona
Hausogei wala huendelei uko palepale kila siku uko vile vile.
Unawasiwasi hofu na mashaka
Unahisi moyoni Mungu kakuacha
Mana unaona hausogei wala huendelei
Uko palepale kila siku uko vile vile kila
Mungu aliyeanzisha safari tena
Ataimaliza naahadi zote alizosema yeye atazitimiza
Mana alikujua kabla hujajijua kabla hujazaliwa
So Mungu hawezi kukuacha njiani
Safari yako alianzisha mwenyewe
Asingetaka angekuacha mwanzoni
Unakokwenda yeye anajua
Mungu hawezi kukuacha njianiii.
Safari yako alianzisha mwenyewe.
Asingetaka angekuacha mwanzoni unakokwenda yeye anajua...
Saaaaaayy
Mungu hawezi kukuacha njiani
"Safari yakooo"
Safari yako alianzisha mwenyewe "asingetaka angekuachaa"
Asingetaka angekuacha mwanzoni
"Unakokwenda uuuhh" unakokwenda yeye anajua
Mungu hawezi kukuacha njianiii.
Safari yako alianzisha mwenyewe.
Asingetaka angekuacha mwanzoni
Unakokwenda yeye anajua...
Mungu hawezi kukuacha njianiii.
Safari yako alianzisha mwenyewe.
Asingetaka angekuacha mwanzoni unakokwenda yeye anajua...
Mungu hawezi kukuacha njianiii.
Safari yako alianzisha mwenyewe.
Asingetaka angekuacha mwanzoni unakokwenda yeye anajua...
Anajuaaaaa... "anajua"
Ulikotokaa unakokwenda "anajua"
Anajua
Heiiiaaa anajuaaaaa "anajua"
Anajua
Ooouuu atainyoosha eeii eeii "atainyoosha njia yakoo"
Atainyooshaa njia yakoooo
Inamabonde. "kweli"
Inavikwazo... "vingiii"
Ataiiinyooshaaa... "njia"... yako
Yakoooo




H. Paul - Asceticism
Album Asceticism
date of release
06-11-2017




Attention! Feel free to leave feedback.